Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

Asûbuhi imefika, napanda boda dadeki, mishipa ya kichwa inauma Kwa kupulizwa na Upepo, Lips za midomo inauma na ukisema uachie mdomo meno yanagongana na unaweza kujing'ata.
Huku siô poa
😀😃😃😁 Mafinga cha Mtoto. Jana Nilienda sehemu moja panaitwa Lulanzi kule Kilolo juu. Nilienda kununua shamba la Parachichi. Kule ni balaa mkuu. Alafu sio mshipa wa kichwa kuuma tu, na masikio nayo yanapigwa baridi hatari ukiwa umepanda bodaboda.

Kule ni hatari mkuu. Jana sijui ilikuwa inasoma Temperature kiasi gani. Inaweza kuwa 5 au 6°C. Wale watu wa kule wanapata shida sana. Bodaboda kule wana tabu sana. Mungu awasaidie. Aiseeeee
 
Masikio yanaungua,
Midomo inauma,
Mishipa ya kichwa inauma

Aiseeh watu WA huku siô poah
 
Mafinga ni habari nyingine Nina experience napo kimsingi usemacho ni kweli kabisa Kuna Uzi wangu humu nilishawahi kuomba msaada wa blanket

Niliusomaga nikasema kûna Mtu kapugwa na kitu kizito.

Kule hakunaga mlala nje
 
Back
Top Bottom