Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo mama yangu na kama ikikiuka misingi ya kuanzishwa kwake anaweza kuhama, hii kauli inaweza kutamkwa na mtu muadilifu, muungwana na anauechukizwa na maovu kweli kweli. Katika utawala wake nani anayeweza kumshutumu kwa ufisadi, rushwa, dhuluma, wizi na hata wizi wa kura?
Alikuwa dedicated kwa ustawi wa taifa hili ila siasa na imani yake ua njia ya kisiasa kulifikisha taifa hili kwenye ustawi ndio kasoro na alikuwa very arrogant, ila dhamira yake kwa taifa hili haina mjadala.
Nilisoma Tambaza na watoto wake tena binti akiwa wakawaida hakujilimbikizia mali wala kuwatengeneza watoto wao kwenye ufalme wa uongozi aearithishe kama wengine
waliowajaza watoto wao kwenye uongozi.
Alikuwa na uthubutu wa kukemea maovu mara anapoyaona kwenye uongozi wa taifa, kumbuka enzi za uongozi wa marehemu Ali Hassan Mwinyi na IGP wake Omary Mahita. Kwenye kilele cha umaarufu wake Augustine Mrema, watu walimpenda kwenye kampeni zake wakambeba lakini mabwana hao kwenye utawala hawakupenda wakawapiga mabomu na kuzuia wananchi wasionyeshe mapenzi yao.
Nyerere alinitokeza tena akasema hata kama watataka wambebe wapokezane kama maiti wawaache, na kweli vurugu za polisi na wafuasi wa Mrema zikapungua. Huo ndio UTHUBUTU na HEKIMA ya mwalimu Nyerere.
Awamu iliyopita kulikuwa hakuna wazee CCM kukemea yaliyokuwa yanatokea? Mwinyi hakuwepo? Mkapa? Kikwete? Hawakuona Tundu Lissu aliposhambuliwa kwenye makazi ya viongozi wa serikali?
Epa, meremeta, import support? Escrow? Nk. Nani alikemea? Warioba alivyopigwa vibao na kada yule mtoto wa yule baba Mzee gani alikemea?
Utekaji na mauaji nani anakemea? Au kauli ya Mzee Butiku inatosha na inaonyesha dhamira ya kukemea madhila yanayoendekea nchini? Wako wapi akina Warioba? Mang'ula, Kinana, Karume, Pinda na wengineo?
Vipi hamuoni au hayawahusu? Au kwenu ni sawasawa? Sababu kubwa kundi kubwa la hawa WAZEE wa CCM ni corrupted! Watajitokeza kutetea CCM na kukosoa upinzani tu, kwao taifa siyo muhimu kama CCM ili walinde dynasty zao!
Kuna wazee wanafiki kama Stephen Wassira akisema ni ubaya wa CHADEMA, wanaogopa mali zao, ufalme wao, watoto wao. Hivi mzee Makamba anaweza akatoka hadharani akakemea utekaji, mauaji na wizi wa kura kweli?
Kama WAZEE kwenye taifa ni corrupted kiasi cha kuwafanya kuwa wanafiki wanachimbia vichwa vyao chini kama mbuni wasione matatizo wanapata wapi courage ya kuwalaumu vijana waandishi wa habari kama alivyofanya Mzee Butiku?
Mzee yupi ni role model kama Nyerere anayeweza kukemea uovu bila kupepesa macho. Taifa kupitia CCM halina WAZEE na tukiwategemea tutaangamia, tumefikia kuwaangalia WAZEE kama professor Assad maana hata ukiwasikilia wazee wanaojiita wa Dar zaidi ya kumsifia mama anaupiga mwingi hawana jipya. HAKUNA courage ya kukemea uovu.
Tutabakia na wazee majuha na wanafiki wanaoangalia matumbo yao na watoto wao kama akina Stephen Wassira. Balile nakuunga mkono piga spana wanafiki hao ikibidi tusuangalie mvi zao