Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hili ndio zee la hovyo kupindukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio zee la hovyo kupindukia
Mzee Butiku anawalaumu vijana kama wewe ambae mawazo yako yako mateka kwa watu wasio na uelekeo,Kwa hiyo utekaji na mauaji hao vijana wanayashughulikia na wameyakomesha? Vipi kwa nini Butiku anawalaumu vijana?
Kwa akili yako kubwa rambirambi na pole ndio ufumbuzi wa kadhia ya utekaji na mauaji ya kisiasa nchini?
Utakuwa ndio mmoja wa wazee wanafiki wachumia tumbo
WAZEE wa CCM ni hasara tupu ndio maana hata viiana wao nao ni hasara, kijana anazungumzia kuwapoteza wapinzani kwa sababu ya kuwapinga watawala is a waste. Wamebakia kumsifia mama anaupiga mwingi, role model ni Wassira unategemea niniNipo namsikiliza wasira hapa tbc ni hasara tupu
Viongozi wenyewe wa polisi ni wale waliohusika katika kutengeneza kesi ya uongo ya uhaini kwa Mbowe unategemea kuwa na jeshi la polisi lenye uadilifuTunasubiri
Tunasubiri siku polisi watakapo tambua kuwa wanatumika kama condom ili ccm waendelee kubaki madarakani ndipo itatokea ule mwisho

Mzee kijana ukiwa na akili za Makamba na Wassira itakuwa hasaraYes,
Mzee kijana mambo Bam Bam yanakwendra safi kabisa 🐒
Ndio maana kamuambukiza na mwanae kuwa wa hovyo hadi wa hovyo wenzie wamemuenguaHili ndio zee la hovyo kupindukia
Tumchukue Nyerere kama role model wetu kwanza tumlinganishe na Mzee Butiku.Mzee Butiku anawalaumu vijana kama wewe ambae mawazo yako yako mateka kwa watu wasio na uelekeo,
si huru tena, mmekua watu wakuaminishwa mambo potofu na watu potofu, na ndio maana mmkua wakali na wenye mihememko dhidi ya mawazo mbdala dhidi ya hoja za nguvu dhidi yenu...
na hiyo ndio inamfanya butiku awaone ni useless kabisa 🐒
You have made my day🤣🤣🤣Wazee wenyewe uzee hawautaki sembuse hekima.
Nukuu; "Sio kila mzee anahekima maan Kuna wapumbavu waliozeeka"
NdiooAtii? Unampenda Makamba?😱😳
Mzee mgaya ndio huyo johnthebaptistWapo akina Mzee Mgaya, Makinda nk
Wazalendo kweli kweli
Hebu nipe sababu unaweza ukanishawishi nikamtoa kwenye kundi la wazee wa hovyo wa CCMNdioo
AnapointHebu nipe sababu unaweza ukanishawishi nikamtoa kwenye kundi la wazee wa hovyo wa CCM
Aisee leka nayo meku😳Mzee mgaya ndio huyo johnthebaptist
Ina maana Tlaatlah na Makamba wana uhusiano ?
infact,
Kwa hiyo utekaji na mauaji ya wakosoaji wa watawala ni mambo madogo kwa wazee wa CCM?infact,
haya ni mambo ya msingi sana na muhimu, mazito sana ya kisiasa tunajadili...
jambo la maanaa zaidi la kupima kama ni la hovyo au sio la hovyo ni sera, mpango au mkakati n.k
hayo mengine ya kudescribe personalities za watu nadhani kwa wabobevu hatuwezi kubabaika nayo kwasabubu hayana maana yoyote kabisa....
si unajua tena akili kubwa hujadili masuala makubwa makubwa yenye faida kwa jamii nzima, na ile ingine ndogo inajadili watu sasa hiyo mie siwez kua na muda nayo SweetyCandy 🐒
UNafaainfact,