Hakuna wazee wenye uthubutu na hekima waliobakia CCM

Kwa hiyo utekaji na mauaji hao vijana wanayashughulikia na wameyakomesha? Vipi kwa nini Butiku anawalaumu vijana?

Kwa akili yako kubwa rambirambi na pole ndio ufumbuzi wa kadhia ya utekaji na mauaji ya kisiasa nchini?

Utakuwa ndio mmoja wa wazee wanafiki wachumia tumbo
Mzee Butiku anawalaumu vijana kama wewe ambae mawazo yako yako mateka kwa watu wasio na uelekeo,

si huru tena, mmekua watu wakuaminishwa mambo potofu na watu potofu, na ndio maana mmkua wakali na wenye mihememko dhidi ya mawazo mbdala dhidi ya hoja za nguvu dhidi yenu...

na hiyo ndio inamfanya butiku awaone ni useless kabisa 🐒
 
Nipo namsikiliza wasira hapa tbc ni hasara tupu
WAZEE wa CCM ni hasara tupu ndio maana hata viiana wao nao ni hasara, kijana anazungumzia kuwapoteza wapinzani kwa sababu ya kuwapinga watawala is a waste. Wamebakia kumsifia mama anaupiga mwingi, role model ni Wassira unategemea nini
 
Tunasubiri

Tunasubiri siku polisi watakapo tambua kuwa wanatumika kama condom ili ccm waendelee kubaki madarakani ndipo itatokea ule mwisho
Viongozi wenyewe wa polisi ni wale waliohusika katika kutengeneza kesi ya uongo ya uhaini kwa Mbowe unategemea kuwa na jeshi la polisi lenye uadilifu
 
Tunasubiri

Tunasubiri siku polisi watakapo tambua kuwa wanatumika kama condom ili ccm waendelee kubaki madarakani ndipo itatokea ule mwisho
Viongozi wenyewe wa polisi ni wale waliohusika katika kutengeneza kesi ya uongo ya uhaini kwa Mbowe unategemea kuwa na jeshi la polisi lenye uadilifu
 
Mzee Butiku anawalaumu vijana kama wewe ambae mawazo yako yako mateka kwa watu wasio na uelekeo,

si huru tena, mmekua watu wakuaminishwa mambo potofu na watu potofu, na ndio maana mmkua wakali na wenye mihememko dhidi ya mawazo mbdala dhidi ya hoja za nguvu dhidi yenu...

na hiyo ndio inamfanya butiku awaone ni useless kabisa 🐒
Tumchukue Nyerere kama role model wetu kwanza tumlinganishe na Mzee Butiku.
Butiku anawalaumu vijana waandishi wa habari lakini anatetea mwenye mamlaka, anataka wawalaumu na kuwabana wateuliwa lakini si anayewateua.
Kitendo cha anaotaka washutumiwe kutojiuzulu na aliyewateua kutowawajibisha hadi leo kinaonyesha dhamira thabiti ya mamlaka ya kuteua kuhusika kikamilifu kwenye mateka na mauaji. Inaelekea Butiku anajua anataka kupoteza lengo.

WAZEE wa hovyo hamtaki kujikita kwenye hoja mnaleta vihoja kwa kutafuta adui asiyekuwepo kuwa mnapootoshwa na watu wasio na mwelekeo wakati hoja iko mezani mnateka na kuua na wazee wa hovyo mnatetea.

Raha ni pale mzee wa hovyo anapowaona nyie useless kwa sababu mmekataa hoja zake za hovyo. Bora kijana mpumbavu kuliko mzee mpumbavu
 
Anapoint
Sijawahi muona akitooa mapovu humu
Anajitambua Tlaatlaah
infact,
haya ni mambo ya msingi sana na muhimu, mazito sana ya kisiasa tunajadili...

jambo la maanaa zaidi la kupima kama ni la hovyo au sio la hovyo ni sera, mpango au mkakati n.k

hayo mengine ya kudescribe personalities za watu nadhani kwa wabobevu hatuwezi kubabaika nayo kwasabubu hayana maana yoyote kabisa....

si unajua tena akili kubwa hujadili masuala makubwa makubwa yenye faida kwa jamii nzima, na ile ingine ndogo inajadili watu sasa hiyo mie siwez kua na muda nayo SweetyCandy 🐒
 
Kwa hiyo utekaji na mauaji ya wakosoaji wa watawala ni mambo madogo kwa wazee wa CCM?
 
infact,
haya ni mambo ya msingi sana na muhimu, mazito sana ya kisiasa tunajadili...

jambo la maanaa zaidi la kupima kama ni la hovyo au sio la hovyo ni sera, mpango au mkakati n.k

hayo mengine ya kudescribe personalities za watu nadhani kwa wabobevu hatuwezi kubabaika nayo kwasabubu hayana maana yoyote kabisa....

si unajua tena akili kubwa hujadili masuala makubwa makubwa yenye faida kwa jamii nzima, na ile ingine ndogo inajadili watu sasa hiyo mie siwez kua na muda nayo SweetyCandy 🐒
UNafaa
 
Back
Top Bottom