Hakuna Waziri aliyeweka rekodi ya kutaja Jina la Raisi mara nyingi kama Bashungwa!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM.

Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
 
Uchaguzi MBOVU matokeo yake makubwa ni kuwa na viongozi wanaojikomba muda wote kwa Rais wa nchi.
 
Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM.

Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
Jafo alishika namba Moja awamu ilio pita, hivi yupo?
 
Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM.

Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
Mapigo na mwendo
 
Waziri wa maji
"Nani kama mama Samia, piga makofi kwa mama Samia"
Kwenye hotuba zake anarudia sentensi hiyo Kila baada ya dk 7
 
Back
Top Bottom