NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Naam! Magazeti na Redio havimuimbi kwa kuwa vimefunikwa na mahaba ya Simba na Yanga.
Ila kwa wapenda football Kama NALIA NGWENA watakuja kutoa ushuhuda hapa kuwa Kipre Junior ni talented boy.
Kasi ya kukimbia, skills za kudribo mpira na nidhamu yake kubwa na anauwezo wa kucheza winga zote kushoto na kulia, huyu kipre jnr hakuwahi kupewa kadi Nyekundu toka atue katika ligi yetu (nidhamu ya Hali ya juu)
Nimetazama mawinga wa Sunche na Kapeto (kariakoo) Sijaona hata mmoja wa kumfikia huyu mwamba lakini Redio na magazeti haswa Hawa wachambuzi wapo bize kumuimba Kibu Denis na Kuacha talanta boy kipre junior.
Huu Ni muda wake Sasa bwana mdogo Kipre Junior kutua kariako aonekane kimataifa na timu yake ya taifa wamuite.