NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
AZAM WANATAKA MKWANJA MKUBWAAkitua yanga siku moja nitafurahi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AZAM WANATAKA MKWANJA MKUBWAAkitua yanga siku moja nitafurahi sana
Úmeandika ujingaAzam ni Flop.
Kuifananisha Azam Vs Yanga &Simba ni kuukosea mpira Heshima.
Bado Azam ana mengi ya kujifunza toka kwa Sunche na Kapeto. Narudia Tena Kufananisha Azam na timu za Kariakoo ni uvivu wa kufikiri, huyo Kipre kwa kiwango cha Azam ni mzuri sana lakin kwa matarajio ya Timu za Kariakoo anaweza akawa Flopp.
Kama mkataba wake ukiisha I mean, maan alvotua alisaini mitatuAZAM WANATAKA MKWANJA MKUBWA
HIVYO NI SAWAKama mkataba wake ukiisha I mean, maan alvotua alisaini mitatu
Namba anapata huyo saivi ni tishio.Kumbe siku hizi anapewa namba? Kuna kipindi alipofika alikuwa anapata namba kwa kusuasua ingawa mpira anaujua!
Lakini uchezaji wake wakuingia ndani na kupiga chenga, mabeki wa kibongo kina Yondani na Nyoso watamvunja tu muda si mrefu!
Wewe hujamwelewa mdau huyo Kipre ni Bora akiwa huko Azam timu ndogo... Ila ukimleta timu za kariakoo utamkataaHAYO NI MANENO YAKO ILA HUYO DOGO HUWEZI KUMFANANISHA MAWINGA DHAIFU WA KARIAKOO.
Kipre anamzidi silla mbio ila skills na uhatari wa kufunga silla ni hatari ,kwa hawa watu wawili naona round ya pili kila team ikionja mauti labda wasianze kwa pamoja wakiwa na dube na toto korofi feiMTAZAME KWANZA KIPRE JNR HALAFU UFANYE COMPARISON NA HUYO SILLA
[emoji23]Kipre anamzidi silla mbio ila skills na uhatari wa kufunga silla ni hatari ,kwa hawa watu wawili naona round ya pili kila team ikionja mauti labda wasianze kwa pamoja wakiwa na dube na toto korofi fei
Ukitaka kuona mpira mzuri watazame AZAMKipre anamzidi silla mbio ila skills na uhatari wa kufunga silla ni hatari ,kwa hawa watu wawili naona round ya pili kila team ikionja mauti labda wasianze kwa pamoja wakiwa na dube na toto korofi fei
Hiyo forward line Kipre,Dube,Silla- Middfield ya FEI ,Bajana na Yahaya Zaydi-Mabeki wa pembeni -Msindo na Sidibe.Nafikiri azam wanahitaji mabeki wa kati tu team ibebe ubingwa bila makandokando na kwa ushawishi.Ningekuwa Bakhresa naenda na m500 kwa Inonga na m300 Dickson Job(Naandika nikijua release zao) ,Hapa piga ua ni majeraha tu yataizuia Azam kuchukua ubingwa .Ukitaka kuona mpira mzuri watazame AZAM
Aende YANGA akakutane na wenzieNAKAZIA HUU NI MOTO WA KUOTEA MBALI.
Umemaanisha ichukue ubingwa msimu huu au upi?Hiyo forward line Kipre,Dube,Silla- Middfield ya FEI ,Bajana na Yahaya Zaydi-Mabeki wa pembeni -Msindo na Sidibe.Nafikiri azam wanahitaji mabeki wa kati tu team ibebe ubingwa bila makandokando na kwa ushawishi.Ningekuwa Bakhresa naenda na m500 kwa Inonga na m300 Dickson Job(Naandika nikijua release zao) ,Hapa piga ua ni majeraha tu yataizuia Azam kuchukua ubingwa .
AZAM WASIPOHUJUMIWA WANACHUKUA UBINGWA.Umemaanisha ichukue ubingwa msimu huu au upi?
Mi Kwa mtazamo wangu Azam sio Bora ukilinganisha na Yanga... Hata ukianza kuchambua mchezaji mmoja mmoja utaligundua Hilo... Sasa itawezaje kubeba ubingwa ikiwa haijamzidi ubora mpinzani wake? Inabidi Kwanza waunde timu imara zaidi ya hii labda baada ya msimu ujao wanaweza kubeba ubingwa
Kuna ubora na kucheza mechi nje ya uwanja ,Azam anachozidiwa na yanga kwa sasa ni kucheza nje ya uwanja sio uboraUmemaanisha ichukue ubingwa msimu huu au upi?
Mi Kwa mtazamo wangu Azam sio Bora ukilinganisha na Yanga... Hata ukianza kuchambua mchezaji mmoja mmoja utaligundua Hilo... Sasa itawezaje kubeba ubingwa ikiwa haijamzidi ubora mpinzani wake? Inabidi Kwanza waunde timu imara zaidi ya hii labda baada ya msimu ujao wanaweza kubeba ubingwa
Hivi azam huwa anahujumiwa nini na lini?AZAM WASIPOHUJUMIWA WANACHUKUA UBINGWA.
Azam ni team ndogo mnoKuna ubora na kucheza mechi nje ya uwanja ,Azam anachozidiwa na yanga kwa sasa ni kucheza nje ya uwanja sio ubora
UNAONGEA KWA HISIA ILA SIYO KIMPIRAHivi azam huwa anahujumiwa nini na lini?
Ubovu wa waamzi unaathiri team zote na kuzinufaisha
Ile mechi ya Yanga azam alifunga goal la offside
Kimataifa ametolewa na team ya Djoubt
Hao mtawakataa akina na kipre
Na atapasuliwa mechi ya simba