Hakuna winga hatari kwa sasa katika ligi ya NBC kama Kipre Junior kutoka Azam FC

Hakuna winga hatari kwa sasa katika ligi ya NBC kama Kipre Junior kutoka Azam FC

Wewe UNAANGALIA MPIRA WA WAPI?!
Huyu JAMAA ana assist 6+
Magoli waliyofungwa Yanga yametoka kwake

Hujaona Kijiji anachokikusanya
Narudia Impact yake ni ipi kwenye EPL.

Ana goli ngapi?, Alishakuwa among top 3 scorers?

Misimu yote aliyokuwapo ameshaongoza hata kwa assist?

Amesaidia nini timu yake so far?

Au ndo anapiga Shibobo basi asifiwe tu
 
Unataka kusema kuwa Faridi musa ni Bora kuliko Chama kwa kua Faridi ana Medali ya MAHINDI wa pili kombe la shirikisho??

Uwezo wa mchezaji haupimwi na vikombe Kama wewe unavyopiga hesabu mchezaji Kama anauwezo anauwezo tu.

SIWEZI kumshindanisha na Moroko au kibu denisi eti kwa kua Hana kombe lakini jamaa ana uwezo wa Hali wa juu
 
Narudia Impact yake ni ipi kwenye EPL.

Ana goli ngapi?, Alishakuwa among top 3 scorers?

Misimu yote aliyokuwapo ameshaongoza hata kwa assist?

Amesaidia nini timu yake so far?

Au ndo anapiga Shibobo basi asifiwe tu
NAFIKIRI MPAKA SASA UTAKUA UMEPATA MAJIBU.
 
Kipre Jr ni hatari sanaaa,
Ni kijana bora sanaa, Azam wakiendelea na moto huu itafika muda wachambuzi watamuimba tu,
Ila kipre ni winga namba #1 hapa nchin kwa sasa
[emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom