Hakuna winga hatari kwa sasa katika ligi ya NBC kama Kipre Junior kutoka Azam FC

Azam ni team ndogo mno
Hana ubora wowote
Haya nambie wachezaji watatu pale Azam wataanza Yanga
Viungo wakabaji wa Azam wote
Winga kipre JNR hata prince Dube akienda Yanga anaanza.
 
hii ni kweli
 
Kuna ubora na kucheza mechi nje ya uwanja ,Azam anachozidiwa na yanga kwa sasa ni kucheza nje ya uwanja sio ubora
Ukiambiwa upange kikosi cha pamoja Kati ya Yanga na Azam ni timu ipi itakua na wachezaji wengi?
We mwenyewe umetamani Azam wawe na beki kama Job.! Hiyo Tu inakuonesha ni Kwa namna gani Yanga n Bora kuliko Azam
 
Ukiambiwa upange kikosi cha pamoja Kati ya Yanga na Azam ni timu ipi itakua na wachezaji wengi?
We mwenyewe umetamani Azam wawe na beki kama Job.! Hiyo Tu inakuonesha ni Kwa namna gani Yanga n Bora kuliko Azam
Binafsi NAKATAA Azam ndiyo ana kikosi Bora kuliko mapacha wa KARIAKOO.
 
Hivi azam huwa anahujumiwa nini na lini?
Ubovu wa waamzi unaathiri team zote na kuzinufaisha
Ile mechi ya Yanga azam alifunga goal la offside
Kimataifa ametolewa na team ya Djoubt
Hao mtawakataa akina na kipre
Na atapasuliwa mechi ya simba
Mwenyewe nashangaa wanasema asipohujumiwa atachukua ubingwa.. ukipiga hesabu Azam ana point 31 Katika game 13 Yanga ana point 30 kwenye game 11...

Azam Wana beki gani za kumuhakikishia clean sheet kwenye game tough? Vipi Wana kipa anaekaribia ubora wa Ayubu achilia mbali Diarra
 
Hivi katika ligi hii UKIAMBIWA TAJA MAKIPA Bora WATATU utamtaja Ayub???
 
Pale yanga nitachukua wachezaji waTANO tu
DIARA, BACCA, JOB MAX NAPAKOME BASI HAO WENGINE HATA AZAM WAPO
Yan utamwa YAO umechukua mwaikenda
Utamwacha Lomalisa umechukue Manyama
Utamwacha Aucho umchukue Bajana
Umwache Mudathiri ubebe fei asiyekaba
Umwache Azizi ki mr hat trick

Kumbe hauko serious
Azam ni team ndogo kama Singida. Au ile ya Tabora
 
Duh unamfananisha na nani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…