Hakuna wizara ambayo itakufanya kuwa wa ovyo kama wizara ya mambo ya ndani usipokuwa makini

Hakuna wizara ambayo itakufanya kuwa wa ovyo kama wizara ya mambo ya ndani usipokuwa makini

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ni mmoja tu ambaye alifanya kuepuka,mwenyezi mungu muepushw na adhabu.

Ila hawa waliopitia hii wizara asilimia kubwa wanajikuta kuzalilika sijui wajifunzagi.

Katambi hiyo wizara usipokuwa na hekima na busara .Tunakukumbusha kuna mwanzako wa mwanza kipindi cha jakaya mwisho wa siku aliingizwa ndani hata kuto kuangalia alikuwa nani.

Na huyo waziri wako alishawai kuachwa porini.
 
Taifa letu linaendeshwa na watu wenye ufahamu mdogo sana walio kwenye nafasi nyeti za taifa.

Kwa Tanzania maneno " MIKUTANO YA KISIASA" na "MAANDAMANO" taratibu yanageuka kuwa jinai na uhalifu mbele ya watawala licha ya kuwa kinachoitwa " KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA" inayatambua mambo kama hayo ni " HAKI" za kisiasa za wananchi/ raia wa Tanzania.

Taifa linazama kwenye tope la upumbavu kutokana na hofu za kupoteza madaraka " HARAMU"
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom