Kuna ngoma flani amazing ya ki-ukae inapigwa huko nje.
Kumbe umegundua ! ni aina ya faraja ya bandia watu wanajipa mzee huyu aliitwa majina yote ya hovyo mara dhaifu mara da gama ila leo kupoza machungu watu wanamkumbuka nae alisema "mtanikumbuka "kweli mkuu... jamaa alikuwa anapondwa sana wanadai anajichekesha chekesha, wanadai badala ya kufanya mambo ya msingi yuko busy kupiga picha na wasanii.
leo yale yale waliyokuwa wanampondea ndiyo hayo hayo wanatumia kumsifia.
Naipenda sana tz
Any Evidence?That doesn't legaiize his weakness... He was and still weak president Tanzania to have
5 min.nakutafuta
Kweli. Ukiwa ni mtu mwenye furaha lazima uishi miaka mingi and vise versa is trueKula bata sio lazima uwe tajiri, usikute mzee kanibana mwaka mzima ili ale bata na wajukuu zake. Watz tujifunze kula bata, kula bata kuna saidia kuishi miaka mingi zaidi, kuondoa stress, kuondoa mawazo, sio tumejaza chuki, tuna lala na chuki, visirani kibao, tunawaza kuharibiana tuu, kuleni bata maisha yaende..
Alikuwa ni Rais wa watu asiyependa makuu na kufatilia maisha ya watu.
Lengo la kuserebuka ndio hilo hilo- dancing is a perpendicular expression of a horizontal desire.Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.
That doesn't legaiize his weakness... He was and still weak president Tanzania to have
Hujui tuna phd ya unafki!kweli mkuu... jamaa alikuwa anapondwa sana wanadai anajichekesha chekesha, wanadai badala ya kufanya mambo ya msingi yuko busy kupiga picha na wasanii.
leo yale yale waliyokuwa wanampondea ndiyo hayo hayo wanatumia kumsifia.
Naipenda sana tz
Hatariungeandika kiswahili tu hii 'brokeni' hatar
Hukufundishwa hivi.....sema huu ndo ukomo wako wa kumwelewa mwalimu wako na kujifunzaNdiyo nilivyofundishwa shuleni English hii ila ujumbe umefika si etii enheee mtanganyika
Namkubali sana kikweteNamkubali sana huyu mzee
UTUMBO MTUPU
Maisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine
Namkubali sana huyu mzee
Wasafi huwaalika wasafi
Safi sana
Kabisa. Wasafi kwa wasafi
Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.
good life
Pwahahaaaaaaa [emoji12] [emoji12]
Ufipa wanakumis
UTUMBO MTUPU
FANYENI KAZI MNAPENDA MAMBO YA KISWAHILI SWAHILI , KUPIGA DILI , NGONO NA UVIVU
NAOMBA BABA JESCA AZIDI KUKAZA UZI ILI WAVIVU WAPUNGUE NA WAJINGA WAPOTEE MJINI KABISA NYAMBAF
HAPA KAZI TUUUU
Kumbe wanavaliana nguo ...what a couple!!!!!Umeona eeh!