Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

kweli mkuu... jamaa alikuwa anapondwa sana wanadai anajichekesha chekesha, wanadai badala ya kufanya mambo ya msingi yuko busy kupiga picha na wasanii.
leo yale yale waliyokuwa wanampondea ndiyo hayo hayo wanatumia kumsifia.
Naipenda sana tz
Kumbe umegundua ! ni aina ya faraja ya bandia watu wanajipa mzee huyu aliitwa majina yote ya hovyo mara dhaifu mara da gama ila leo kupoza machungu watu wanamkumbuka nae alisema "mtanikumbuka "
 
Hivo ndio rais anatakiwa awe,sio kukasirikia watu muda wote na kua na chuki dhidi ya wengine
 
Kula bata sio lazima uwe tajiri, usikute mzee kanibana mwaka mzima ili ale bata na wajukuu zake. Watz tujifunze kula bata, kula bata kuna saidia kuishi miaka mingi zaidi, kuondoa stress, kuondoa mawazo, sio tumejaza chuki, tuna lala na chuki, visirani kibao, tunawaza kuharibiana tuu, kuleni bata maisha yaende..
 
Kweli. Ukiwa ni mtu mwenye furaha lazima uishi miaka mingi and vise versa is true
 
Majority of Tanzanians are on dog food and what not, and they don't even know. Today you cheer for the guardian who let y'all od'd so badly you wanted rehabilitation, simply because the new one cut off the supply. Ain't that something?
 
Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.
Lengo la kuserebuka ndio hilo hilo- dancing is a perpendicular expression of a horizontal desire.
 
Haya Maisha ya namna hii ndio yanayomkera Kamanda Mkuu!

Anataka Asubuhi ukiamka uwaze kulima Mchana uwaze kupalilia shamba na Usiku uwaze kuvuna!

Maisha ni Kama kioo Ukifoka nayo yanafoka
 
UTUMBO MTUPU

FANYENI KAZI MNAPENDA MAMBO YA KISWAHILI SWAHILI , KUPIGA DILI , NGONO NA UVIVU

NAOMBA BABA JESCA AZIDI KUKAZA UZI ILI WAVIVU WAPUNGUE NA WAJINGA WAPOTEE MJINI KABISA NYAMBAF

HAPA KAZI TUUUU
Maisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine

Namkubali sana huyu mzee

Wasafi huwaalika wasafi

Safi sana

Kabisa. Wasafi kwa wasafi

Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.

good life

Pwahahaaaaaaa [emoji12] [emoji12]

Ufipa wanakumis
 
UTUMBO MTUPU

FANYENI KAZI MNAPENDA MAMBO YA KISWAHILI SWAHILI , KUPIGA DILI , NGONO NA UVIVU

NAOMBA BABA JESCA AZIDI KUKAZA UZI ILI WAVIVU WAPUNGUE NA WAJINGA WAPOTEE MJINI KABISA NYAMBAF

HAPA KAZI TUUUU

Kashindwa Julius itakuwa John!
 
Back
Top Bottom