Hakunaga mimba ya bahati mbaya

Kwakweli kama tunakubaliana uhusiano wetu niwa nyege utasemaje umepata mimba?mi inaingia kwake na ni wajibu wake maana yeye ndo anajifahamu .

Unakuta mwanamke anajua huyu mtu ana familia na mke na bado atakubali kavu sijui ooh condom inachubua . Kudanganywa inawezekana kwamba mpo serious relationship kumbe jamaa anataka mzigo ila je hawa wanaojua huyu ni mme na anafamilia bado anadaka mimba tusemaje?

Uzembe upo kwa wanawake
 
Ndio maana mm kabla sijakutana nae siku hiyo
Initially navaa Condom yangu kimya kimya wala hajui akifika tukishakamikisha zoez nikienda kujisafisha naitoa then naweka nyingine for emergence maana wanaume hawaaminiki hukawii kupata mimba, na maradhi.
Wanawake wenzangu we must be care before undergo sexual intercourse.
 
🀣🀣🀣 umenifurahisha sana KINGSLEE πŸ™ˆπŸ™ˆ
Hongera mwaya kwa kucheza kwa akili!πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ

Maamuzi ni yetu...kusuka ama kunyoa!
 
Naona unang'ata na kupuliza uncle wake C.

Basi tukishapata mimba napo tuwaonee huruma, tusiwasumbue wala kuwalazimisha ku-take responsibility au unasemaje?πŸ™‚
 
Una stock ya lady pepeta sio?..Good.
 
Mademu wote niliowahi kuwagegeda hawakuwahi kuniambia anything serious concerning the use of condom,yaani wapo tayar tu kwa lolote except call girls ambao wako makini balaa..

This mean kwamba ni rahisi zaidi kwa watoto wa kike kupata HIV na unplanned pregnancies.
 
Naona unang'ata na kupuliza uncle wake C.

Basi tukishapata mimba napo tuwaonee huruma, tusiwasumbue wala kuwalazimisha ku-take responsibility au unasemaje?[emoji846]

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Uncleee C nami na neno, Mimi napenda watoto sana, yani ikitoke accidentally amenasa mimba nitawajibika, na kwa upande wangu mpaka nilale na mwanamke nimeshampa credits nyingi sana so akipata mimba nitamshauri tuileee,


So ukiona mwanaume anakimbia majukumu ujue basi hakutarajia kuzaa na huyo mwanamke
 

I'm glad to hear that uncle C. πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘ŠπŸΎ


Ila we siunajua wengi tunapitiana pitiana tu kupoteza muda??? Hapo ndo tatizo linapoanzia!
 
I'm glad to hear that uncle C. [emoji1433][emoji1433][emoji1477]


Ila we siunajua wengi tunapitiana pitiana tu kupoteza muda??? Hapo ndo tatizo linapoanzia!

Naelewa sana lizzy wangu, ni kuwa makini tu hakuna lingine, mwanaume wa serious utamjua mapema sana wanawake siku hizi mmepata nafasi ya kusoma so mnaweza kutambua uongo wa mwanaume
 
abortion haitakiwi kua illegal, kwa style hii
itafika kipindi hadi kumwaga nje itakua illegal pia
 
Naelewa sana lizzy wangu, ni kuwa makini tu hakuna lingine, mwanaume wa serious utamjua mapema sana wanawake siku hizi mmepata nafasi ya kusoma so mnaweza kutambua uongo wa mwanaume
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Uncle C kwani we hukusomea uongo na wakaka wenzio???
 
Raha ni kwamba...kwa jinsi ambavyo huwa mnalipatia hilo somo, inawezekana kabisa upo mazoezini right this moment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Somo la udanganyifu ama mhmhhh wewe watu hutofautiana banah, siwezi elezea sana ila nachojua kila mtu ana makuzi yake, perception zake na elimu aliyoipata kwa kweli hatuwezi fanana
 
Ndio hivyo hivyo huwaga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mpaka wenyewe tunaanza kuwatetea...ohhh yule hawezi kuwa hivyo...hana sababu ya kudanganya...msomi...familia yake yenyewe haina mambo mengi etc. Etc.....

Tukija kushtuka tumeachiwa manyoya!!!πŸ™„πŸ˜„
 

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe kuna watu wana tricks zao ehhh ila uncle kama uncle hayupo kwenye kundi hilo
 
Niliskia hampend kuzivaa zinazama kumbe mpo mnaotumia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…