Hakunaga mimba ya bahati mbaya

Hakunaga mimba ya bahati mbaya

True.....buuuuut, baraka pale unapoweza kuwamudu kwa kila hali na kila namna. Zaidi ya hapo ni kuwatesa, kujitesa na kutesana 😓😓
Huwa nasema hivi mtoto ni baraka ukimpata katika wakati sahihi! Una economic freedom, una makazi ya kudumu na mwanamke sahihi kwa malezi hapo mtaishi ila ile umekurupuka tu paap huelewi aisee ni noma!
 
Mademu wote niliowahi kuwagegeda hawakuwahi kuniambia anything serious concerning the use of condom,yaani wapo tayar tu kwa lolote except call girls ambao wako makini balaa..

This mean kwamba ni rahisi zaidi kwa watoto wa kike kupata HIV na unplanned pregnancies.
Wanapendaga nyama tu nyama
 
Huwa nasema hivi mtoto ni baraka ukimpata katika wakati sahihi! Una economic freedom, una makazi ya kudumu na mwanamke sahihi kwa malezi hapo mtaishi ila ile umekurupuka tu paap huelewi aisee ni noma!
Tunawategeshea alafu wote tunaishia kuwa miserable 🥴🥴
 
Kiukweli the so called "mimba za bahati mbaya" ni janga....

Ndio sababu kuu ya mabinti kutoa mimba hovyo, wanaume & wanawake kulazimishwa/lazimika ku-commit kwa watu ambao hawakua na nia nao, watoto wa mtaani, single family households kuongezeka na mengine mengi. Sadly mara nyingi kama sio zote, anaeumia sana ni mtoto ambae hakuchagua kuwa sehemu ya maisha yetu.

Now, if we were being honest...
Is there really such thing as "mimba ya bahati mbaya"???

Wanaume wanaweza wakatumia hiyo kauli kwa kisingizio cha "Sikujua kama uko kwenye siku za hatari" / "Nilijua anatumia dawa." etc etc....

Ila mwanamke unapokuwa sexually involved na jinsia ya kiume bila kinga/bila kuzingatia siku za hatari/bila kutumia contraceptive unatarajia nini kama sio kupata mimba???

Na wadada tunavyojua kulaumu sasa [emoji849][emoji57]

Neway, what I'm trying to say is.....maamuzi ya kushika ama kutokushika mimba ultimately yanatuangukia sisi wadada hivyo tujitahidi kuwa responsible.

Kama hauko tayari kulea JUST BE RESPONSIBLE!
Kuna kondom, vidonge/sindano/vipandikizi vya kuzuia mimba bila kusahau utaratibu wa kuhesabu siku zetu....pick one and stick to it. Otherwise kuwa tayari kubeba na kukubali responsibility 100% with or without the man.
Tuache kulalamika kila siku na kufanya abortion kuwa kitu cha kawaida....
Kwanza bortion ni hatari sana...
Kuna waliopoteza maisha, walioharibu vizazi na kushindwa kuzaa walipohitaji kutoka na abortion.
#2 abortion ni illegal...
#3 abortion is unfair to all the little angels & future somebodys.

So please Copulate Responsibly!!![emoji6]

Alafu hii meme wakaka muizingatie msije mkasema sikuwashauri....si mnajua science haipingiki???[emoji16]View attachment 1967783
[emoji23]
 
Muweke hata mavijiti jamani- isijekuwa kisingizio cha kuanza kunyimana utamu sasa
 
Back
Top Bottom