Hakunaga mimba ya bahati mbaya

True.....buuuuut, baraka pale unapoweza kuwamudu kwa kila hali na kila namna. Zaidi ya hapo ni kuwatesa, kujitesa na kutesana 😓😓
Huwa nasema hivi mtoto ni baraka ukimpata katika wakati sahihi! Una economic freedom, una makazi ya kudumu na mwanamke sahihi kwa malezi hapo mtaishi ila ile umekurupuka tu paap huelewi aisee ni noma!
 
Wanapendaga nyama tu nyama
 
Huwa nasema hivi mtoto ni baraka ukimpata katika wakati sahihi! Una economic freedom, una makazi ya kudumu na mwanamke sahihi kwa malezi hapo mtaishi ila ile umekurupuka tu paap huelewi aisee ni noma!
Tunawategeshea alafu wote tunaishia kuwa miserable 🥴🥴
 
[emoji23]
 
Muweke hata mavijiti jamani- isijekuwa kisingizio cha kuanza kunyimana utamu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…