Hakunaga Zaidi ya Kasie na Mahalat

Mahalat ndo huyu smart au nachanganya mafaili kasie
 
Mahalat...mtamu kama haradali ya asali
Si mwingine bali ndiye malkia wa nyuki
Toka Sharif Shamba mpaka Kunduchi
Hakamatiki kama upepo wa Bajaji
 
Ha haa Nzagamba wewe... Nina wasiwasi nawe
Wasiwasi nami wa nini..?
Nimekuwa mwizi au fisadi..?
Chunga zako kauli..
Nisije kukuibia kufuli..
Kama yule miss nanilii..
Acha nicheke kama Joti..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mahalat...mtamu kama haradali ya asali
Hakika vitamu wavijua, tunu nakutunuku....

Si mwingine bali ndiye malkia wa nyuki
That's where honey pie comes from......

Toka Sharif Shamba mpaka Kunduchi
Kupitia kapirimposhi maputo na kutua Ikungulyabashashi....

Hakamatiki kama upepo wa Bajaji

Utampata wapi kama yulee...
Mwenye tabasamu kama lile...
Umpende akupende. ...
Uwe wake awe wako...

Hahahahahaha shika mkanda funga mkanda wanasemaga chambua kama karanga...... uuuiiiiii
Maisha na Mahalat ......
Acha shairi weka muziki. ....
Ukiwa juu shuka chini tulisakate kabumbuu....
Mixed grill....
 
Wasiwasi nami wa nini..?
Nimekuwa mwizi au fisadi..?
Chunga zako kauli..
Nisije kukuibia kufuli..
Kama yule miss nanilii..
Acha nicheke kama Joti..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikwambie kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…