Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nakuelewa sana Mrembo Kasie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhMahalat...mtamu kama haradali ya asali
Si mwingine bali ndiye malkia wa nyuki
Toka Sharif Shamba mpaka Kunduchi
Hakamatiki kama upepo wa Bajaji
Mbona mie hunipagi hayo mashairi[emoji17]Wanakuita Muree....nini mbaya?
Mbona mie hunipagi hayo mashairi[emoji17]
Ongeza tena[emoji39]Hunitendei haki Muree..
Sijui niseme ndo uzee..
Mara ngapi nimenena wako upekee..
Acha tu mungu akuone..
Ongeza tena[emoji39]
Tena bwanaa[emoji4]Niongeze tena?
Una cha kunilipa?
Nisije bure kukuchapa
Uende nisema kwa mama
Mwishowe uchekwe na Kisura
Tena bwanaa[emoji4]
Ha haa Nzagamba wewe... Nina wasiwasi naweNaona wanifanya babu..
Wanichezea kama mjukuu..
Hata kama sina sharubu..
Chunga naweza kuwa beberu..
Wasiwasi nami wa nini..?Ha haa Nzagamba wewe... Nina wasiwasi nawe
Hakika vitamu wavijua, tunu nakutunuku....Mahalat...mtamu kama haradali ya asali
That's where honey pie comes from......Si mwingine bali ndiye malkia wa nyuki
Kupitia kapirimposhi maputo na kutua Ikungulyabashashi....Toka Sharif Shamba mpaka Kunduchi
Hakamatiki kama upepo wa Bajaji
Nikwambie kitu?Wasiwasi nami wa nini..?
Nimekuwa mwizi au fisadi..?
Chunga zako kauli..
Nisije kukuibia kufuli..
Kama yule miss nanilii..
Acha nicheke kama Joti..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nambie..Nikwambie kitu?
NakutakaNambie..