Hakuwa cha kuzindua wiki hii?

Hakuwa cha kuzindua wiki hii?

Waliomwambia atubu aliishua kuwabeza
Aje atubeze na hiyo trillion tuone
Aturudishie pesa yetu
CAG analishangaa Bunge kutokuhoji
Bunge ilipashwa kuweka kila kitu pending washughulike na hili
Zitto lianzishe huko kabla Hii issue haijasahaulika
Kesi za wabunge zote zisimame
Hizi pesa Bunge au Serikali itueleze ziko wapi
Walikuwa wanachota kama pesa ya ukoo
Atubu kwa Mungu wake kwanza mengine yatafuata
Leo Polepole anaongelea vyama vinavyopata ruzuku. Trillion 1.5 ni kaa la moto
 
Tangu ripoti ya CAG imetoka hatuja muona mtukufu bararani akiwa na mkasi wake wa kuzindua. Hata vile viwanda vya saloon vya Lusinde hakuna kilichomalizika tupate kuona uso wa mzee?
lazima atafute jibu lake kwanza wakati wa uzinduzi
 
Mbona mnaendelea kunidhalilisha hivyo hamuoni mandege niliyo yareta hamuoni maviwanda haya yanayojengwa na sasa Sgr imeanza kujengwa hivi nyinyi mumelogwa sasa nasema hivi lazima mniunge mkono na muwe wazarendo nasema haya kwa dhati kabisa kwasababu msema kweli ni mpenzi wa mungu na nikisikia kuna mtu anaendelea huko kwenye mitandao yenu nitarara naye mbere
 
Yanaweza; but in other way round: "Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba, Mussa Juma amekimbizwa hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya moyo wake kushindwa kufanya kazi!"

Hatutoi kiki kwa risasi kwa watu kama Juma Hassan!
Sio Mussa muaddress as Profesa Mussa hilo ndo jina sahihi
 
Ina maana jina lake haliwezi kuwa sahihi hadi utangulize title ya usomi wake?!
Ndio mkuu na ndio maana mtu mwenye Phd yake kama ni Dr,au Prof huwezi kuanza kutaja jina bila kuanza na hizo titles maana nazo ni jina. Mim ambaye sina unaweza niita jina langu straight.Unaweza pia uliza watu wanaojua zaidi upewe darasa.
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mkuu na mkasi wake wa kuzindua [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndio mkuu na ndio maana mtu mwenye Phd yake kama ni Dr,au Prof huwezi kuanza kutaja jina bila kuanza na hizo titles maana nazo ni jina. Mim ambaye sina unaweza niita jina langu straight.Unaweza pia uliza watu wanaojua zaidi upewe darasa.
Kwanini usiweze kuita jina la mtu bila kuanza na academic title?! Hivi leo hii Dr. Dau ukamuita Ramadhani Dau unampunguzia nini kwenye usomi wake?

Kwanza haya mambo tunaendekeza sana kwenye third world countries possibly because wenye nazo ni wachache na wakipata lazima uwatambue! Matokeo yake ndo haya; wengine wanafanya hadi udanganyifu ili mradi tu wapate title ya usomi!
 
Mbona mnaendelea kunidhalilisha hivyo hamuoni mandege niliyo yareta hamuoni maviwanda haya yanayojengwa na sasa Sgr imeanza kujengwa hivi nyinyi mumelogwa sasa nasema hivi lazima mniunge mkono na muwe wazarendo nasema haya kwa dhati kabisa kwasababu msema kweli ni mpenzi wa mungu na nikisikia kuna mtu anaendelea huko kwenye mitandao yenu nitarara naye mbere
Hivyo vibajaji unaviita ndege? Viwanda vingine vilishfunguliwa tangu enzi ya Mkapa
 
Back
Top Bottom