Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Leo Polepole anaongelea vyama vinavyopata ruzuku. Trillion 1.5 ni kaa la motoWaliomwambia atubu aliishua kuwabeza
Aje atubeze na hiyo trillion tuone
Aturudishie pesa yetu
CAG analishangaa Bunge kutokuhoji
Bunge ilipashwa kuweka kila kitu pending washughulike na hili
Zitto lianzishe huko kabla Hii issue haijasahaulika
Kesi za wabunge zote zisimame
Hizi pesa Bunge au Serikali itueleze ziko wapi
Walikuwa wanachota kama pesa ya ukoo
Atubu kwa Mungu wake kwanza mengine yatafuata