Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Aaaaaah mimi sikuamini bana ngoja dada yangu atakuja kunieleza vizuri Patience123 ,dada yangu hakosi nguo na hajalelewa kumtegemea mwanaume ,yeye mwenyewe ni mpambanaji
Uncle wangu,....

Hebu mwambie afafanue kwanza maana ya username yangu ndio aje hapa aseme hayo anayoyasema.
 
Uncle wangu,....

Hebu mwambie afafanue kwanza maana ya username yangu ndio aje hapa aseme hayo anayoyasema.
Teh teh nashangaa ,kaja na mikwara mingi ,nikajua mikwara ni njia ya asiyejiamini ,kumbe maskini ya Mungu anapewa huko sirini hata kusema wazi hatakiwi
Teh Mkuu QUIGLEY
 
Baada ya kusoma hapa ndio nimejua nyie ni couple mwanzo nilijua ni marafiki mlioshibana that's all.
Mungu awabariki mfikie malengo yenu na mdumu milele.
Nimewapenda bure aisee
 
Awwwwwww, To love and to be loved, is the greatest happiness of existence. Nawaombea, Inshallah.

[HASHTAG]#TheBolds[/HASHTAG]"
Awwwwwwww???je ni kifupi cha Salama na maamkizi ya kiislamu??

Kupitia kwako napenda kujua,hivi The Bold na Nifah ni Muslims?

May Allah bless them,today in world and tomorrow in Akhera.[emoji120] Amiin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…