Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Unaongea na mimi au na simu??Aiseee sio kwa mnyoosho huu my dia.Wish you all the best mrembo.....ever
It's either you or never baby [emoji8] [emoji8] [emoji8]
I love you,only you.
AhahahahahahahMagufuli kanishikia kwa muda tu kwakuwa sijui kutunza Hela, ila ukinikubalia tu nazifuata Magogoni hata sasa hivi. I love you so much Darling Miss Chagga!
Hahaahaha! Thanks man..Daaaah sikutaka kukoment hapa manake donge limenikaa rohoni ila ngoja tu nilitoe.
The bold napenda sana makala zake afu Nifah nampenda kichizi yani.
Sijawahi kuwaza kuwa naye wala kumtokea ila nampenda sana tu.
The bold anatuletea vitu vy ukweli hapa JF kwa hio siwezi kum mind.
Ninachomuomba tu ni amtunze sana huyu mtoto nifah.
Sio kesho kutwa tunasikia kakimbilia kwa kina kisu cha ngariba ananyweshwa mbege
Amiin. Ushapata majibu ya maswali yako?Awwwwwwww???je ni kifupi cha Salama na maamkizi ya kiislamu??
Kupitia kwako napenda kujua,hivi The Bold na Nifah ni Muslims?
May Allah bless them,today in world and tomorrow in Akhera.[emoji120] Amiin
Mashilawadu hampitwiiiUnaongea na mimi au na simu??Aiseee sio kwa mnyoosho huu my dia.Wish you all the best mrembo
Unaongea na mimi au @Nifah?Nakuona tu unakula ubuyu.......[emoji126]Mashilawadu hampitwiii
Absolutely right dearest.#Thebold's ni proof kuwa "the universe has better plans for us"
Asante mpendwa wangu,same same [emoji8]Unaongea na mimi au na simu??Aiseee sio kwa mnyoosho huu my dia.Wish you all the best mrembo
Kwa Hali ilivyo kwa mtoto Nifah na upya wa mapenzi kashasahau kama tumebadilisha Rais yeye anajiona kama yuko kwa MKWERE bado Enjoy You day with Ur Bae(hubby) The Bold
Kama hajapata muambie jibu ni ndio [emoji6]Amiin. Ushapata majibu ya maswali yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hivi Bibie alivyo mwembamba na Modo kama nakuona vile Mkuu unavyousokomeza Mchi kunako Kinu cha Nungwi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa kaamua kujitoa mhanga kwa kukubali kwa moyo mmoja kabisa kukumbatia Mzinga wa Nyuki. Hongera zake sana!
More love darling.... [emoji8]Absolutely right dearest.
Nakupendaga sana wewe mdada!Asante kwa support yako.
#TheBold's#
Unaongea na simu au unaongea na mimi?
Bado Heaven SentAmiin. Ushapata majibu ya maswali yako?
Ahsante sana Anko..Uwe na mwaka mpya mzuri mzee..Mbona kimya sana..Heri?Aiseee nilipotea mpwa wangu ..Mambo yako ? Mzima wewe ? Aisee hawa watu humu hawaja mbadilisha Heaven Sent wangu ? Naona Nifah dada yangu nae kaolewa , Kaboom mzima ?
Patience123 nimewasiliana naye jana
Merry Christmas kwenu jamani
Aksante UkhutyKama hajapata muambie jibu ni ndio [emoji6]