Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Kwa Hali ilivyo kwa mtoto Nifah na upya wa mapenzi kashasahau kama tumebadilisha Rais yeye anajiona kama yuko kwa MKWERE bado Enjoy You day with Ur Bae(hubby) The Bold
 
Daaaah sikutaka kukoment hapa manake donge limenikaa rohoni ila ngoja tu nilitoe.
The bold napenda sana makala zake afu Nifah nampenda kichizi yani.
Sijawahi kuwaza kuwa naye wala kumtokea ila nampenda sana tu.

The bold anatuletea vitu vy ukweli hapa JF kwa hio siwezi kum mind.
Ninachomuomba tu ni amtunze sana huyu mtoto nifah.
Sio kesho kutwa tunasikia kakimbilia kwa kina kisu cha ngariba ananyweshwa mbege
Hahaahaha! Thanks man..

Will do everything, hata ikibidi kumove all mountains kuhakikisha huyu mtoto mzuri she is happy na tunazaeeka pamoja..

Mwenyezi Mungu atatusaidia!
 
Na mimi ngoja nianze mikakati ya kumg'oa 'Miss Chaga' ntawapa 'updates' kinachoendelea,niombee jamani niweze pokelewa vizuri Kishumundu.
 
Aiseee nilipotea mpwa wangu ..Mambo yako ? Mzima wewe ? Aisee hawa watu humu hawaja mbadilisha Heaven Sent wangu ? Naona Nifah dada yangu nae kaolewa , Kaboom mzima ?

Patience123 nimewasiliana naye jana

Merry Christmas kwenu jamani
Ahsante sana Anko..Uwe na mwaka mpya mzuri mzee..Mbona kimya sana..Heri?
 
Back
Top Bottom