Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Kuna sakafu ya twiga cement na sakafu ya bahari!hizi ni mbio za sakafuni...!
Nyani Ngabu haeleweki mara leo kwa Valentina mara leo kule mara kesho ohhh za hapa na pale njoo kwangu dear ila wasiwasi wangu je chura ipo?[emoji30]Ahahahahahahah
Acha wivu, watu wakipendana furahia.hizi ni mbio za sakafuni...!
Njoo tunamaliza
Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's
Shemeji yangu kwani hujui Nyani Ngabu ni mume wa Valentina?Nyani Ngabu haeleweki mara leo kwa Valentina mara leo kule mara kesho ohhh za hapa na pale njoo kwangu dear ila wasiwasi wangu je chura ipo?[emoji30]
ila shem data zangu zinaonyesha kuwa kati ya Ngabu na Dinazarde kuna mmoja huwa anamnyemeleaga mwenzake deile![emoji30]Shemeji yangu kwani hujui Nyani Ngabu ni mume wa Valentina?
Mhhhh labda lakiniila shem data zangu zinaonyesha kuwa kati ya Ngabu na Dinazarde kuna mmoja huwa anamnyemeleaga mwenzake deile![emoji30]
HAahaa nilikuwa naongea na simu bahati mbaya kishumundu kwa babe wangu network hakunaUnaongea na simu au unaongea na mimi?
Mkuu siku hzi kuna nyaaatiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] tangazo la ukuta hajaliona nn huyo jamaa.Kuna sakafu ya twiga cement na sakafu ya bahari!
Najua huna uwezo wa kung'amua tofauti zake..
Anyways,
Imeandikwa; "alaaniwe anaye walaani....... adui akija kwa njia moja atatawanyika kwa njia saba"
Merry Christmas..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi huwa nina file la kila mmoja hapa JF,sasa hivi nataka ni-update la kwako ili nione kama kuna any change![emoji1]Mhhhh labda lakini
Ha haa yatakushinda wewe nakwambiaMimi huwa nina file la kila mmoja hapa JF,sasa hivi nataka ni-update la kwako ili nione kama kuna any change![emoji1]
Ha haa yatakushinda wewe nakwambia
Asante nimekuelewa mkuuHAahaa nilikuwa naongea na simu bahati mbaya kishumundu kwa babe wangu network hakuna
Shukrani Mkuu..Wakuu The Bold na Nifah on behalf of myself na wale wote wanaonihusu, nawatakia kila la kheri katika ukarasa mpya wa mahusuano yenu.