Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Wooooww.!! Thank you so much wakuu..

Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]

Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..

Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..

Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..

Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..

Tunawapenda sana!

# TheBold's

Wakuu The Bold na Nifah on behalf of myself na wale wote wanaonihusu, nawatakia kila la kheri katika ukarasa mpya wa mahusuano yenu.
 
Kuna sakafu ya twiga cement na sakafu ya bahari!
Najua huna uwezo wa kung'amua tofauti zake..

Anyways,
Imeandikwa; "alaaniwe anaye walaani....... adui akija kwa njia moja atatawanyika kwa njia saba"

Merry Christmas..
Mkuu siku hzi kuna nyaaatiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] tangazo la ukuta hajaliona nn huyo jamaa.
 
Love is beautiful....love is life!
May the Lord of endless mercy guide your steps!
Hongera Nifah, hongera The bold.
Kadi yangu msininyime muda utakapofika ([emoji21][emoji41][emoji41]msiogope my ID me siko na wao kwenye kamata kamata).

Asante mpendwa wangu.
Tunaanzaje kukunyima sasa?
Panapo majaaliwa In Shaa Allah[emoji120]
 
Back
Top Bottom