Mama usimsifie sana ,watamnyanyukia wima The Bold hutaamini ,
Na shogazo wakija uwaweke kibarazani huko
[emoji38]
Aisee we mwabamke ni kibokoo. How old are you?Ukinifanya mama wa kambo wa Heaven Sent sio mbaya[emoji13]
I bet unamaanisha mwanzoni mwa thread,njoo mwishoni humu utazikuta tele.Niffah sizion comment zako
[emoji23] [emoji23] mkuu mbona unauliza umri tena? Age is just a number bhana unataka nikimbize watu?Aisee we mwabamke ni kibokoo. How old are you?
Asante. Wewe una nini?Kwa kipi sasa. Unawaonea wivu watu kwa kushinda hapa kujadili udaku.
Una neurosis kijana
Nataka nijiweke.[emoji23] [emoji23] mkuu mbona unauliza umri tena? Age is just a number bhana unataka nikimbize watu?
We mwenyewe mkubwa au unatafuta kulelewa?Nataka nijiweke.
Vitoto sipendiii
Hahaha eti file langu hebu liupdate nioneMimi huwa nina file la kila mmoja hapa JF,sasa hivi nataka ni-update la kwako ili nione kama kuna any change![emoji1]
Nasubiria thread yenu.Namtoa wapi sasa...nitafutie kakako basi[emoji85]
Kwetu mi ndo mkubwa..Sasa inakuaje?
Me mzee kabisaaaWe mwenyewe mkubwa au unatafuta kulelewa?
Interest yangu kubwa nataka nijue kama bado moyo wako upo kwa yule jamaa wa JF au kwa yule jamaa wa mtaani aliekuwa anakusumbuaga![emoji1]Hahaha eti file langu hebu liupdate nione
Weka picha kwanza nioneMe mzee kabisaaa
Eeeeh nasubiriapo na mimiNasubiria thread yenu.
Cc atoto @ Heaven Sent
Pambeeeeeee [emoji108] [emoji108] [emoji108]Gere mama gere, wananionea gere,
Watausaga mtama waubwie wenyewe
Ukinifanya mama wa kambo wa Heaven Sent sio mbaya[emoji13]
Teh teh..Na binti yangu anakupenda kweli..Sidhani kama kuna tatizo
Aiiiiiiiiii, nani kasema?Ngoja aje anikubali yeye mwenyewe na mimi nimsikie
Haya mama..Douta Heaven Sent embu pita huku..
Niweke wapi? Mbele au nyuma?Weka picha kwanza nione
Tumia brain mtoto wa kiume wivu mpaka kwenye post. Tanzania ya viwandaAsante. Wewe una nini?