Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mama usimsifie sana ,watamnyanyukia wima The Bold hutaamini ,
Na shogazo wakija uwaweke kibarazani huko
[emoji38]
Hata sasa unadhani wanakosekana basi? Siwezi kuacha kuwa proud na my man sababu ya kuhofia nyakunyaku...real men cannot be stolen.
I trust him.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] sawa kaka [emoji120]