Mi pia nimetokea kuwapenda sana na haswa pale mnapokuwa wazi bila kujali macho kodokodo!!!! sitachoka kuwaombea Allah awalinde kwa nguvu zote.Awwwwwwwww haya ni mapenzi makubwa aysher!
Am speechless kabisa [emoji87]
Allahuma Amiyn,
Jazakallah Khayran.
Nimetokea kukupenda bure dearest [emoji7] [emoji8][emoji120]
Usiogopeeee sweetie. Njooo tucheze chakachaaaWalah nimetishika aisee
Wee jamaa mchawiiii.Hahahahah! Dah nimecheka sana Mkuu.
Ila nani kakwambia mimi mlokole?? Siku ukisikia jina langu utasema hili lijamaa limetoroka Afghanistan [emoji23]
Sema nimesoma sana biblia darasani kuanzia msingi mpaka chuo kutokana na aina ya shule nilizosoma! That's why theolojia naijua jua na imenifanya niwe na makhaba na ukristo.. And ofcoz nina makhaba na dini zote mpaka ubudha, uhindu, umormon, uscientology n.k.
[emoji23] [emoji23] uniahidi kwamba hutoniuliza tena hilo swaliUsiogopeeee sweetie. Njooo tucheze chakachaaa
Hivi Niffah na The Bold ni mtu na mamsapu? I mean ni legal wife/couple au umechukua tu Avatar yake?
[emoji23] [emoji23] baby usifanye hivyo. Hapo nlikuwa naongea na mtoto wa kambo nione reaction yake ila mimi natosha kabisa kumzaa huku nachat Jf
Teh utafwariki kabla ya siku zako[emoji23] [emoji23] kuwa na mtoto wa kambo kama huyu ni kujitafutia kufa ningali kabinti kabichi...nimenyoosha mikono[emoji119]
"Nilompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu machooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana kuhusu mshana.
Tutaziandaa bila shaka panapo majaaliwa mkuu.
Am giving you my word,nitamtunza kama mboni ya jicho langu.
Mtcheeeew[emoji23] [emoji23] baby usifanye hivyo. Hapo nlikuwa naongea na mtoto wa kambo nione reaction yake ila mimi natosha kabisa kumzaa huku nachat Jf
Sirudii tena mamisappp wangu.[emoji23] [emoji23] baby usifanye hivyo. Hapo nlikuwa naongea na mtoto wa kambo nione reaction yake ila mimi natosha kabisa kumzaa huku nachat Jf
[emoji23] [emoji23] uniahidi kwamba hutoniuliza tena hilo swali
Kwaiyo kuna siku kaka mshana Jr na Dada feiza(sijui nimepatia) wanaweza kuwa Mr and Mrs hiii ndo couples nayo isubiria.umu jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Life is an interesting journey.! Nikikumbuka ile Vita kati yangu na mtoto mzuri, naamini kweli hiki tulichonacho sasa ni mpango wa Mungu.. Maana haiwezekani kabisa kwa akili za kibinadamu maadui wakubwa kiasi kile leo hii kuogelea kwenye mapenzi mazito kiasi hiki [emoji1] [emoji23]
Aiseee unataka kuanzishaaa vitaaa. Afe Kipa wangu???Teh utafwariki kabla ya siku zako
Mwee na wewe ndo umemuopoa huyo?Aiseee unataka kuanzishaaa vitaaa. Afe Kipa wangu???
MwenyeweeMtcheeeew
Sio kwa kunichekesha huku. HaiwezekaniKwaiyo kuna siku kaka mshana Jr na Dada feiza(sijui nimepatia) wanaweza kuwa Mr and Mrs hiii ndo couples nayo isubiria.umu jr
Ni wachumba walikutana kibahati mbaya JamiiForumsHivi Niffah na The Bold ni mtu na mamsapu? I mean ni legal wife/couple au umechukua tu Avatar yake?
Wivu on fleekMwee na wewe ndo umemuopoa huyo?
Yaaa. Ndo mamako MdogoMwee na wewe ndo umemuopoa huyo?
He he he hongeraWivu on fleek