Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Awwwwwwwww haya ni mapenzi makubwa aysher!
Am speechless kabisa [emoji87]
Allahuma Amiyn,
Jazakallah Khayran.
Nimetokea kukupenda bure dearest [emoji7] [emoji8][emoji120]
Mi pia nimetokea kuwapenda sana na haswa pale mnapokuwa wazi bila kujali macho kodokodo!!!! sitachoka kuwaombea Allah awalinde kwa nguvu zote.
 
Hahahahah! Dah nimecheka sana Mkuu.

Ila nani kakwambia mimi mlokole?? Siku ukisikia jina langu utasema hili lijamaa limetoroka Afghanistan [emoji23]

Sema nimesoma sana biblia darasani kuanzia msingi mpaka chuo kutokana na aina ya shule nilizosoma! That's why theolojia naijua jua na imenifanya niwe na makhaba na ukristo.. And ofcoz nina makhaba na dini zote mpaka ubudha, uhindu, umormon, uscientology n.k.
Wee jamaa mchawiiii.

Kila nkijaribu kukuroga ndumba inadundaaaa
 
[emoji23] [emoji23] kuwa na mtoto wa kambo kama huyu ni kujitafutia kufa ningali kabinti kabichi...nimenyoosha mikono[emoji119]
Khaaaaa. Sikutaki tena. Kumbe ungali kabinti???? Tena kabichi so spinachiii????

Byeeeee Khantwe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana kuhusu mshana.

Tutaziandaa bila shaka panapo majaaliwa mkuu.
Am giving you my word,nitamtunza kama mboni ya jicho langu.
"Nilompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu machooooo
Anayejua kupenda, anayejali thamani ya neno love"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Life is an interesting journey.! Nikikumbuka ile Vita kati yangu na mtoto mzuri, naamini kweli hiki tulichonacho sasa ni mpango wa Mungu.. Maana haiwezekani kabisa kwa akili za kibinadamu maadui wakubwa kiasi kile leo hii kuogelea kwenye mapenzi mazito kiasi hiki [emoji1] [emoji23]
Kwaiyo kuna siku kaka mshana Jr na Dada feiza(sijui nimepatia) wanaweza kuwa Mr and Mrs hiii ndo couples nayo isubiria.umu jr
 
Back
Top Bottom