Huyu mtoto wako akae hukohuko kwa mamake akikaa na mimi nitamvunja miguu bureTeh teh..Sitaki kukugombanisha na mama ako..Acha ntatafuta mwenyewe
🙂🙂Haya umeyataka mwenyewe..Tulikuwa tumalize wawili tu huu mchezo..We umetaka approval kutoka kwake ndo matokeo yake hayo..Huyu mtoto wako akae hukohuko kwa mamake akikaa na mimi nitamvunja miguu bure
Yanakoelekea yatanishinda tu🙂🙂Haya umeyataka mwenyewe..Tulikuwa tumalize wawili tu huu mchezo..We umetaka approval kutoka kwake ndo matokeo yake hayo..
Pambeeeeeee [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sikupatii picha kibwebwe kikiwa kiunoni unalimwaga segere mama.
Heheeeeee
Kiukweli kama mnapendana kweli sioni haja ya kuficha,mnaogopa nini?Mi pia nimetokea kuwapenda sana na haswa pale mnapokuwa wazi bila kujali macho kodokodo!!!! sitachoka kuwaombea Allah awalinde kwa nguvu zote.
Ewaaaaaaa huu wimbo nilikuwa nauimba hicho kipande kinaniumaaaaa."Nilompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu machooooo
Anayejua kupenda, anayejali thamani ya neno love"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka kichwa kimeuma.Kwaiyo kuna siku kaka mshana Jr na Dada feiza(sijui nimepatia) wanaweza kuwa Mr and Mrs hiii ndo couples nayo isubiria.umu jr
Wooooow [emoji87] [emoji4]Hongera sana Nifah kwa kumpata mwenza wa maisha.
Nami kwa heshima na taadhima Nikutakie heri na baraka nyingi kwenye maisha ya ndoa.
Basi na alichounganisha Mwenyezi Mungu mwanadamu asikitenganishe.
Amen.
Wooooow [emoji87] [emoji4]
Amen [emoji120]
Nami kama #TheBold's# nikutakie kheri na baraka tele katika ndoa yako mkuu,kama bado Mungu na akupe wa kufanana na wewe.
Hakika Mungu ni mwema sana [emoji120],yeye hana ashindwalo.
Nashukuru sana mkuu The bold kwa sala za heri.
Daraja hilo nilivuka yapata miaka 10 sasa, lakini naona ni kama jana tu. Nafurahi sana kuona mnatia nia kufikia daraja hili. Daraja la hiari hili lenye historia sawia na umri wa ulimwengu.
Inshallah mtafanikisha. Penye nia pana njia. Mungu awabariki sana.
Mlete kwangu nimfunde huyo atoto hata mwanao Heaven Sent wote wanahitaji kufundwaMkuu huyo sweet Mangi ana mabalaa si kidogo..Mtoto wa kiume navumilia mengi..Sijui nikuletee umfunde
Hahahahaha yangu macho mieYanakoelekea yatanishinda tu
Na wivu ni wa kwako piaaaHahahahaha yangu macho mie
Usianze kuniwangia sasa maana huchelewiHahahahaha yangu macho mie
Wivu sina ila roho inaniuma tuNa wivu ni wa kwako piaaa