Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Huyu mtoto wako akae hukohuko kwa mamake akikaa na mimi nitamvunja miguu bure
🙂🙂Haya umeyataka mwenyewe..Tulikuwa tumalize wawili tu huu mchezo..We umetaka approval kutoka kwake ndo matokeo yake hayo..
 
Pambeeeeeee [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sikupatii picha kibwebwe kikiwa kiunoni unalimwaga segere mama.
Heheeeeee

Hongera sana Nifah kwa kumpata mwenza wa maisha.

Nami kwa heshima na taadhima Nikutakie heri na baraka nyingi kwenye maisha ya ndoa.

Basi na alichounganisha Mwenyezi Mungu mwanadamu asikitenganishe.

Amen.
 
Mi pia nimetokea kuwapenda sana na haswa pale mnapokuwa wazi bila kujali macho kodokodo!!!! sitachoka kuwaombea Allah awalinde kwa nguvu zote.
Kiukweli kama mnapendana kweli sioni haja ya kuficha,mnaogopa nini?
Wapendwa ukiona mwenzi wako anataka mapenzi ya PM tu huku majukwaani full mikausho kimbiaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata katika maisha ya kawaida pia ni the same.

Aamiyn In Shaa Allah sweetheart
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji120]
 
Hongera sana Nifah kwa kumpata mwenza wa maisha.

Nami kwa heshima na taadhima Nikutakie heri na baraka nyingi kwenye maisha ya ndoa.

Basi na alichounganisha Mwenyezi Mungu mwanadamu asikitenganishe.

Amen.
Wooooow [emoji87] [emoji4]
Amen [emoji120]

Nami kama #TheBold's# nikutakie kheri na baraka tele katika ndoa yako mkuu,kama bado Mungu na akupe wa kufanana na wewe.
Hakika Mungu ni mwema sana [emoji120],yeye hana ashindwalo.
 
Nashukuru sana mkuu The bold kwa sala za heri.

Daraja hilo nilivuka yapata miaka 10 sasa, lakini naona ni kama jana tu. Nafurahi sana kuona mnatia nia kufikia daraja hili. Daraja la hiari hili lenye historia sawia na umri wa ulimwengu.

Inshallah mtafanikisha. Penye nia pana njia. Mungu awabariki sana.
 
Daaaaah mkuu una busara sana no wonder ndoa yako imedumu namna hiyo.
Mungu asimame nanyi mpate kusherehekea Jubilee ya miaka 50 na zaidi.
Amen[emoji120] shukraan mkuu.

#TheBold's#
 
Mimi hongera yangu naweka akiba, hadi nione live sio drama na Inawezekana wakawa jinsia moja
 
Back
Top Bottom