Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Tuko pamoja nami nimejifunza kutoka kwenu.
 
Mweh,, nilikuwa wapi??? Nifah ndio ushakuwa ex??! Saaalaaaleeeh!!!

Anyway, I wasn't planning on taking our thing any far so am glad that you found ur path right away... Congratulations!

Nisiwe mnafiki, mkuu The bold hapa itabidi uniruhusu niwe nakudowea tu japo mara moya moya, si wajua tena mlamba asali haishi kuchovya!! [emoji39][emoji39]

Nawatakia heri kwenye mipango yenu!!!!!
 
Twaomba karima kuwajalia na maisha mema kuyafurahia.
Kila lililojema twawaombea muishi kwa salama pia.
Ilahi mwenyezi tunakuelekea uwape mapenzi wadumu pamoja pia.
Allah alisimamie jambo lenu ili iwe ni siku adhimu kwa watu muadhamu kwa kufunga ndoa.
Allahumma Aamiyn
The bold & Nifah
#ForNikkahInshaallah#
 
narudia tena kampende mdogo wangu...!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .

anakupenda sana tu!jua hvyooo!
 
Awwwwwwwww haya ni mapenzi makubwa aysher!
Am speechless kabisa [emoji87]
Allahuma Amiyn,
Jazakallah Khayran.
Nimetokea kukupenda bure dearest [emoji7] [emoji8][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]all the best dear...!!

u know I luv u and may Allah bless u....
 
Kumbe ndo weweee....

Kamtunze sana mdogo wangu aiserhh!
She loves uuu....she did tel me mda sana!!

all the best [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nafurahi sana !!!

kumbe ndo wewee

narudia tena kampende mdogo wangu...!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .

anakupenda sana tu!jua hvyooo!
Duuuuhh kumbe siku nyingi amekuchana ananipenda, basi amenisumbua sana mpaka kusema YES, kupiga piga kona sana yani [emoji23] [emoji23]

Usijali Sista, I really love her! Mdogo wako yuko kwenye mikono Salama kabisa..
 
Hongera sana the bold kwa kufanikiwa kujenga mahusiano ndani ya jamii yetu hii kwa maana nyingine ni kuwa umeokotea ndani ni jambo la kujivunia pili ni aina ya njia mlimopitia mpaka kufika hapo ndipo utakubaliana na kauli ya "quarrel
l are not destructive sometimes are constructive "na wazawa tukasema yetu wagombanao ndio wapendanao muendelee vyema kufikia malengo yenu .
 

Nimetafakari sana nikujibu nini,kwanza sikujui na sijui lengo lako hasa la kusema yote haya ni nini.

Anyways... Tuseme wewe ni ex kweli,so what?
Kwani umesikia nilimuambia The bold mimi ni bikra ili iwe ajabu mimi kuwa na ex?

As long as sikumuambia hivyo that means ninao exes,na kuwa na exes sio kosa la jinai bali kosa ni kuendelea kupasha viporo na exes.

My dear,kama ulifikiri comment yako hii itavuruga chochote baina yetu umefail,ananijua vyema,anajua ni jinsi gani namaanisha kwake.
Nipo committed nae,I won't cheat him.
Wakati wako ulishapita,huu ni wakati wake sasa.

So my dearest ex,can you leave us alone pls?
Yani watu sijui mkoje! Na kwa kutambua hili tulishajipanga mapema kukabiliana na wale wote kama wewe,hamtoweza asilani.

#TheBoldIsMine#
 
He is not serious Shemela wetu. Huu ni utani wa maishemejii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]all the best dear...!!

u know I luv u and may Allah bless u....
Awwwwww thank you dearest Sisy
Asante kwa kila kitu geniveros tumekuwa marafiki wa muda mrefu sana.
Wewe ni rafiki yangu wa kwanza kabisa nilipojiunga JF,nakumbuka uliniambia unanipenda sana...hadi leo unaniambia maneno yaleyale!
Niseme nini?Nakupenda zaidi gen,nawe wajua hili vyema.

Nakushukuru sana,sana.
Will always love you [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Allahumma Amiyn [emoji120]
Jazakallah Kharyan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…