Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mie na wewe tena kuwa na amaniUsianze kuniwangia sasa maana huchelewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie na wewe tena kuwa na amaniUsianze kuniwangia sasa maana huchelewi
PoleeeWivu sina ila roho inaniuma tu
Asante sanaPoleee
Utufunde tuwe "manyaunyau"Mlete kwangu nimfunde huyo atoto hata mwanao Heaven Sent wote wanahitaji kufundwa
Siki hizi nimeokokaUtufunde tuwe "manyaunyau"
Tuko pamoja nami nimejifunza kutoka kwenu.Kiukweli kama mnapendana kweli sioni haja ya kuficha,mnaogopa nini?
Wapendwa ukiona mwenzi wako anataka mapenzi ya PM tu huku majukwaani full mikausho kimbiaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata katika maisha ya kawaida pia ni the same.
Aamiyn In Shaa Allah sweetheart
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji120]
Wanasemaga kikulacho ki nguoni mwako sijui kweli au fitna tu za walimwenguMie na wewe tena kuwa na amani
Ni fitna tu my ex wiiWanasemaga kikulacho ki nguoni mwako sijui kweli au fitna tu za walimwengu
Uwii nshakuwa x wii tena..tangu lini?Ni fitna tu my ex wii
Hahahahaha!! Eti kibahatu mbaya..
Huu ulikuwa mpango wa Mungu Mkuu..
binamu bado weweeAwwwwwww, To love and to be loved, is the greatest happiness of existence. Nawaombea, Inshallah.
[HASHTAG]#TheBolds[/HASHTAG]"
narudia tena kampende mdogo wangu...!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]all the best dear...!!Awwwwwwwww haya ni mapenzi makubwa aysher!
Am speechless kabisa [emoji87]
Allahuma Amiyn,
Jazakallah Khayran.
Nimetokea kukupenda bure dearest [emoji7] [emoji8][emoji120]
Kumbe ndo weweee....
Kamtunze sana mdogo wangu aiserhh!
She loves uuu....she did tel me mda sana!!
all the best [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nafurahi sana !!!
kumbe ndo wewee
Duuuuhh kumbe siku nyingi amekuchana ananipenda, basi amenisumbua sana mpaka kusema YES, kupiga piga kona sana yani [emoji23] [emoji23]narudia tena kampende mdogo wangu...!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .
anakupenda sana tu!jua hvyooo!
Hongera sana the bold kwa kufanikiwa kujenga mahusiano ndani ya jamii yetu hii kwa maana nyingine ni kuwa umeokotea ndani ni jambo la kujivunia pili ni aina ya njia mlimopitia mpaka kufika hapo ndipo utakubaliana na kauli ya "quarrel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Life is an interesting journey.! Nikikumbuka ile Vita kati yangu na mtoto mzuri, naamini kweli hiki tulichonacho sasa ni mpango wa Mungu.. Maana haiwezekani kabisa kwa akili za kibinadamu maadui wakubwa kiasi kile leo hii kuogelea kwenye mapenzi mazito kiasi hiki [emoji1] [emoji23]
Mweh,, nilikuwa wapi??? Nifah ndio ushakuwa ex??! Saaalaaaleeeh!!!
Anyway, I wasn't planning on taking our thing any far so am glad that you found ur path right away... Congratulations!
Nisiwe mnafiki, mkuu The bold hapa itabidi uniruhusu niwe nakudowea tu japo mara moya moya, si wajua tena mlamba asali haishi kuchovya!! [emoji39][emoji39]
Nawatakia heri kwenye mipango yenu!!!!!
He is not serious Shemela wetu. Huu ni utani wa maishemejiiNimetafakari sana nikujibu nini,kwanza sikujui na sijui lengo lako hasa la kusema yote haya ni nini.
Anyways... Tuseme wewe ni ex kweli,so what?
Kwani umesikia nilimuambia The bold mimi ni bikra ili iwe ajabu mimi kuwa na ex?
As long as sikumuambia hivyo that means ninao exes,na kuwa na exes sio kosa la jinai bali kosa ni kuendelea kupasha viporo na exes.
My dear,kama ulifikiri comment yako hii itavuruga chochote baina yetu umefail,ananijua vyema,anajua ni jinsi gani namaanisha kwake.
Nipo committed nae,I won't cheat him.
Wakati wako ulishapita,huu ni wakati wake sasa.
So my dearest ex,can you leave us alone pls?
Yani watu sijui mkoje! Na kwa kutambua hili tulishajipanga mapema kukabiliana na wale wote kama wewe,hamtoweza asilani.
#TheBoldIsMine#
Awwwwww thank you dearest Sisy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]all the best dear...!!
u know I luv u and may Allah bless u....