Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
-
- #501
Sasa baby ndo umenipotezea au??? Maana sielewiii[emoji23] [emoji23] that's a relief nlitaka kutoka mbio. Nakupenda pia my dia Mungu akujalie wewe na shem na akatie mkono wake katika kila mlipangalo
Shukran jazillan-NifahMaash Allah
Aamiyn Allahumma Aamiyn
Shukraan Sheikh
Allah akuzidishie kheyr In Shaa Allah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuuu...usikonde mi najua yupo tu!!nasubiri kipungaaaaHaha tulia basi binamu, si unanijua vizuri eeeeh
Haha weweeeee, , em tulia huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuuu...usikonde mi najua yupo tu!!nasubiri kipungaaaa
[emoji8] [emoji8] [emoji8] thank uuuAwwwwww jamani gen,nakupenda mnooooo, yani sana sana.
Asante kwa ushauri mwanana kabisa,nitaufanyia kazi na kuzingatia kila neno uliloniambia.
Nimejisacrifice kwa penzi hili,tutadumu na you'll be proud of me Sisy.
Thank you [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
sitaki kutulia nataka na ya kwako pia....!!![emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haha weweeeee, , em tulia huko
Tunakupenda zaidi mkuu,tunamshukuru Mungu kwa watu kama nyie.Shukran jazillan@Nifah
Na Barakkallah fyk ukhty
Nawapenda sanaaa!!@The bold& Nifah
Hahaha unataka yangu na nani?sitaki kutulia nataka na ya kwako pia....!!![emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shukrani sanaaaa!! kama mpenzi wa udi/uturi utabidi upate hata zawadi kutoka Mombasa/Zanzibar!Tunakupenda zaidi mkuu,tunamshukuru Mungu kwa watu kama nyie.
#TheBold's#
na yule wa kwako wa moyo....Hahaha unataka yangu na nani?
Teh haya utamjuana yule wa kwako wa moyo....
japo simjui ngoja nimuite Mr anonimaz...[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ntafurahi sana...!!!nicheze[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]Teh haya utamjua
Pambe tyuuuuuuuuuuuuntafurahi sana...!!!nicheze[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
tenaaaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Pambe tyuuuuuuuuuuuu
Nakuja sweetheart, kama bado nitakucheki mimi kabisa.[emoji8] [emoji8] [emoji8] thank uuu
nenda pm kwanza japo umefunga Ila nenda!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante sana mkuu....hahahahahaha...huu uzi ntakuja niusome woooote,japo page nyingi!
.huyu mtoto Nifah iko janja sana!..yani mpwa warumi kajitahidi weeee kuleta miubuyu ya ki-shilawadu,halafu mtoto kafa kwa mambo ya kiintelejensia,dadeki!!
.....hahahahaha..,hongereni sana,hongereni mno,hongereni kupita kiasi aisee!
.tunasubiri ndoa!
Wooooow napenda sana mkuu,mimi ni halat ati [emoji39] [emoji4]Shukrani sanaaaa!! kama mpenzi wa udi/uturi utabidi upate hata zawadi kutoka Mombasa/Zanzibar!
#TheBoldIsYours#
Jamani nilikuwa nawapenda wewe na Paulo [emoji85] [emoji85] [emoji85]Teh haya utamjua
Hahaha umenikumbusha mbali. Ulikuwa watupendea nini zaidi Le twin?Jamani nilikuwa nawapenda wewe na Paulo [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Basi tu.