Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

[emoji23] [emoji23] that's a relief nlitaka kutoka mbio. Nakupenda pia my dia Mungu akujalie wewe na shem na akatie mkono wake katika kila mlipangalo
Sasa baby ndo umenipotezea au??? Maana sielewiii
 
Awwwwww jamani gen,nakupenda mnooooo, yani sana sana.

Asante kwa ushauri mwanana kabisa,nitaufanyia kazi na kuzingatia kila neno uliloniambia.

Nimejisacrifice kwa penzi hili,tutadumu na you'll be proud of me Sisy.

Thank you [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] thank uuu

nenda pm kwanza japo umefunga Ila nenda!
 
...hahahahahaha...huu uzi ntakuja niusome woooote,japo page nyingi!
.huyu mtoto Nifah iko janja sana!..yani mpwa warumi kajitahidi weeee kuleta miubuyu ya ki-shilawadu,halafu mtoto kafa kwa mambo ya kiintelejensia,dadeki!!
.....hahahahaha..,hongereni sana,hongereni mno,hongereni kupita kiasi aisee!
.tunasubiri ndoa!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante sana mkuu.

Wakati ukifika mambo yatakuwa wazi na tutawapa mualiko woteeeeee In Shaa Allah [emoji120].
 
Back
Top Bottom