Umeokoka kumbe! Mshawishi na atoto nae aokoke basiYani Mr ana wasiwasi hata kwa kijana mlokole Kama mimi.. Mwambie aache hizo bana
Atoto ameokoka pia.. Nimekumiss..Uko poa?Umeokoka kumbe! Mshawishi na atoto nae aokoke basi
Nahisi mekumiss zaidi... Mie niko bukheri sana mwayaAtoto ameokoka pia.. Nimekumiss..Uko poa?
Nashukuru jirani.. Uwe na siku njemaNahisi mekumiss zaidi... Mie niko bukheri sana mwaya
yupo wapi huyo atoto ukimuona mwambie nina gift yakeUmeokoka kumbe! Mshawishi na atoto nae aokoke basi
Anahudumia ndoa yuleyupo wapi huyo atoto ukimuona mwambie nina gift yake
vizuri ngoja nawe uache usista unihudumieAnahudumia ndoa yule
Tuhudumiane...vizuri ngoja nawe uache usista unihudumie
mwanamke ndo anamlea mume usipomlea tu wenzio wanamuiba si unajua wanaume kiumbe adimu siku hiziTuhudumiane...
Mwanaume ndo anamlea mke. Usipomlea tu wenzio wanamuiba si unajua wanawake tunapenda kudekezwa n.k?mwanamke ndo anamlea mume usipomlea tu wenzio wanamuiba si unajua wanaume kiumbe adimu siku hizi
Umenifanya nicheke kwa nguvu. Km hapana ufanyeje na km ndio ungefanyeje?
Teh Teh.. Nilitaka kujua tuliishia wapi, nisije nikawa narudi stage nilizozivuka tayari
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]Mmenikumbusha wimbo wa Starehe wa Ferooz Ft Prof Jay kuna mstari anaimba:
Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri, nilishamsahau kama tulishakutana kimwili, nilipomwona nikamtongoza tena, tena kwa mara ya pili!
hahhaahahahaha poleeeMapenz Raha Sana ukiplmpata akupendae Kwa dhati.. Nami natamani Sana nifanye vice versa Kwa mrembo flan humu[emoji8] ..lakin hanitaki[emoji24].
Simlaumu yeye Bali ninamlaumu Yule aliemfanya awaone wanaume wote ni washenzi.
Wikend hiyo..Tukutane wapi?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Hivi mtu anaweza kusahau kweliMmenikumbusha wimbo wa Starehe wa Ferooz Ft Prof Jay kuna mstari anaimba:
Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri, nilishamsahau kama tulishakutana kimwili, nilipomwona nikamtongoza tena, tena kwa mara ya pili!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Rai una vituko sanaMmenikumbusha wimbo wa Starehe wa Ferooz Ft Prof Jay kuna mstari anaimba:
Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri, nilishamsahau kama tulishakutana kimwili, nilipomwona nikamtongoza tena, tena kwa mara ya pili!
Hivi mtu anaweza kusahau kweli