Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Dah, uvivu wangu wa kutembelea hili jukwaa umenifanya niwe mgeni jf. Kila :mrembo" nayetaka kumvisha pete humu nahisi kama yuko "occupied" sjui nifanye cross-border niende jukwaa la Uganda?
 
Umenifanya nicheke kwa nguvu. Km hapana ufanyeje na km ndio ungefanyeje?
Teh Teh.. Nilitaka kujua tuliishia wapi, nisije nikawa narudi stage nilizozivuka tayari

Mmenikumbusha wimbo wa Starehe wa Ferooz Ft Prof Jay kuna mstari anaimba:

Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri, nilishamsahau kama tulishakutana kimwili, nilipomwona nikamtongoza tena, tena kwa mara ya pili!
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
 
Mapenz Raha Sana ukiplmpata akupendae Kwa dhati.. Nami natamani Sana nifanye vice versa Kwa mrembo flan humu[emoji8] ..lakin hanitaki[emoji24].

Simlaumu yeye Bali ninamlaumu Yule aliemfanya awaone wanaume wote ni washenzi.
hahhaahahahaha poleee
 
Mmenikumbusha wimbo wa Starehe wa Ferooz Ft Prof Jay kuna mstari anaimba:

Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri, nilishamsahau kama tulishakutana kimwili, nilipomwona nikamtongoza tena, tena kwa mara ya pili!
Hivi mtu anaweza kusahau kweli
 
Mmenikumbusha wimbo wa Starehe wa Ferooz Ft Prof Jay kuna mstari anaimba:

Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri, nilishamsahau kama tulishakutana kimwili, nilipomwona nikamtongoza tena, tena kwa mara ya pili!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Rai una vituko sana
 
Yaani huu mstari aliimba Ferooz huwa siuamini amini kabisa, sasa nilivyoona Kaboom anamuuliza jje's kama alishawahi kumtongoza nikajiuliza kumbe inawezekana.
 
Back
Top Bottom