Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hahaha ukaze nini? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Awali nilidhan ki jf jf...kumbe mambo mpera mpera
Fresha sana aisee nazan watakuwa.happy daima zaid Obama na Michelle
Ngoja nikaze tako, my b nitavua siku chombo
Hongera sana wakuu
mi namjua id yake sijui atakua kaharibu make sijamhoji kwa kina namtafutia muda
Hahahahahaaaaa sis love ndoa bado,Ningeachaje kukualika jamani?Wamefanyaje... Nifa njoo mbio mdogo WA mie ushapigwa ndoa kimyakimya mmmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetulia tuliiiiiiii umenikumbusha Mzee wetu kipenzi Lowassa.[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] na mimi nimetulizwa humuhumu nimetulia tuliii viva jf
Kapunguza kidogo [emoji12],kama bado hujamjua nicheki PM.kaacha kile kiingereza chake
Yaah akili imetulia.. Kiutani utani tu ikawa kweli khaaa jf idumuHahahahahaaaaa sis love ndoa bado,Ningeachaje kukualika jamani?
Nakupendaga mno hujui tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetulia tuliiiiiiii umenikumbusha Mzee wetu kipenzi Lowassa.
Am happy for you sis [emoji122]
Exposure mkuu [emoji4]Mbona bold kama diaspora sanaaaa au swagger
Kapunguza kidogo [emoji12],kama bado hujamjua nicheki PM.
Hahahahahaaaaa kila la kheri na asante sana mkuu.Awali nilidhan ki jf jf...kumbe mambo mpera mpera
Fresha sana aisee nazan watakuwa.happy daima zaid Obama na Michelle
Ngoja nikaze tako, my b nitavua siku chombo
Hongera sana wakuu
Tayari sweetheart [emoji4]hebu ntajie nakuomba my...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali sisemiiiTayari sweetheart [emoji4]
Paulo atanichukiaje jamani?[emoji24] [emoji85]
Pmhebu ntajie nakuomba my...
Difenda haitatosha mkuu, wataleta karandinga.. [emoji61] [emoji61]Hahahahaha dakika sifuri tu unashangaa difenda hiyo imekuja kuwachukua wageni waalikwa..
Aunwa kiume aitwe Maxence.. Na wa kike maxenciaMkipata mtoto.muiteni jamii forum.
Ok..Naamini tutakutana one day..mi namjua id yake sijui atakua kaharibu make sijamhoji kwa kina namtafutia muda
No longer paulo bwana, nawe na umbea wote huo haujui!Tayari sweetheart [emoji4]
Paulo atanichukiaje jamani?[emoji24] [emoji85]
Labda niwe nimestaafu umbea.No longer paulo bwana, nawe na umbea wote huo haujui!
Damn you!Labda niwe nistaafu umbea.
Najua zamaniiiiiii
Si anajiita DC sasa hivi?
Heheeeeee
Hahahahahaaaaa sis love ndoa bado,Ningeachaje kukualika jamani?
Nakupendaga mno hujui tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetulia tuliiiiiiii umenikumbusha Mzee wetu kipenzi Lowassa.
Am happy for you sis [emoji122]
Heaven Sent bado zamu yako.Yaah akili imetulia.. Kiutani utani tu ikawa kweli khaaa jf idumu
Hilo nalo neno mwenzangu...Heaven Sent bado zamu yako.
Teh stay tuned. ...Heaven Sent bado zamu yako.
Mmmh sio kwa uchumba sugu huu. Sijui he is doing his PHD in HS!!! Naona siwi upgraded kabisa, na ahadi hewa zake kama mwanasiasa. His days are numbered khaa