Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Awali nilidhan ki jf jf...kumbe mambo mpera mpera

Fresha sana aisee nazan watakuwa.happy daima zaid Obama na Michelle

Ngoja nikaze tako, my b nitavua siku chombo

Hongera sana wakuu
Hahaha ukaze nini? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
mi namjua id yake sijui atakua kaharibu make sijamhoji kwa kina namtafutia muda
 
Wamefanyaje... Nifa njoo mbio mdogo WA mie ushapigwa ndoa kimyakimya mmmh
Hahahahahaaaaa sis love ndoa bado,Ningeachaje kukualika jamani?
Nakupendaga mno hujui tu.
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] na mimi nimetulizwa humuhumu nimetulia tuliii viva jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetulia tuliiiiiiii umenikumbusha Mzee wetu kipenzi Lowassa.
Am happy for you sis [emoji122]
 
Hahahahahaaaaa sis love ndoa bado,Ningeachaje kukualika jamani?
Nakupendaga mno hujui tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetulia tuliiiiiiii umenikumbusha Mzee wetu kipenzi Lowassa.
Am happy for you sis [emoji122]
Yaah akili imetulia.. Kiutani utani tu ikawa kweli khaaa jf idumu
 
Awali nilidhan ki jf jf...kumbe mambo mpera mpera

Fresha sana aisee nazan watakuwa.happy daima zaid Obama na Michelle

Ngoja nikaze tako, my b nitavua siku chombo

Hongera sana wakuu
Hahahahahaaaaa kila la kheri na asante sana mkuu.
 
Hahahahahaaaaa sis love ndoa bado,Ningeachaje kukualika jamani?
Nakupendaga mno hujui tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetulia tuliiiiiiii umenikumbusha Mzee wetu kipenzi Lowassa.
Am happy for you sis [emoji122]

Yaah akili imetulia.. Kiutani utani tu ikawa kweli khaaa jf idumu
Heaven Sent bado zamu yako.
 
Back
Top Bottom