Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #401
Umeona honeyWivu on fleek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona honeyWivu on fleek
Mmh ahsante, but mamdogo nilonao wananitosha teh[emoji23] [emoji23]Yaaa. Ndo mamako Mdogo
Asante mjukuuuHe he he hongera
Mahaba makavuuuuuu khaaaUmeona honey
Yalolowana ya kwenu nyie vijana wa 90Mahaba makavuuuuuu khaaa
[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una majibu kama mkeoYalolowana ya kwenu nyie vijana wa 90
Najua haijatoka moyoni hiyo[emoji13]He he he hongera
NimemuonaUmeona honey
Hahahahaha!! Eti kibahatu mbaya..Ni wachumba walikutana kibahati mbaya JamiiForums
Ni kweli, imetoka mikononi coz nimeiandika [emoji87] [emoji87]Najua haijatoka moyoni hiyo[emoji13]
Tu mwili mmoja.[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una majibu kama mkeo
Uwezi jua my kama ata hawa walikuwa maadui why not kwakina mshana jrSio kwa kunichekesha huku. Haiwezekani
Teh hapana jamani mweeUwezi jua my kama ata hawa walikuwa maadui why not kwakina mshana jr
Ntakuchapa wewe mwone kwanzaNi kweli, imetoka mikononi coz nimeiandika [emoji87] [emoji87]
[emoji134] [emoji134] maweee. Kwa namba nyingine unataka kusema najitongoza na kujikubali mwenyewe. Baaas sikutaki tenaTu mwili mmoja.
Let me make one thing clear. Hizi ni ID mbili tofauti zinazotumiwa na mtu mmoja.
Yaani najitongoza kwa kutumia Robot la Matope then najikubalia kwa Khantwe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Douta mbona hivyo..Mbona wamkataa huyu..Sasa nimpe nani,anayejua thamani?Aiiiiiiiiii, nani kasema?
Ntakutafutia basiDouta mbona hivyo..Mbona wamkataa huyu..Sasa nimpe nani,anayejua thamani?
Ahahha sweetie usinikimbie nilikua namyeyusha huyu mtoto[emoji134] [emoji134] maweee. Kwa namba nyingine unataka kusema najitongoza na kujikubali mwenyewe. Baaas sikutaki tena
Teh teh..Sitaki kukugombanisha na mama ako..Acha ntatafuta mwenyeweNtakutafutia basi
Ngoja nifikirieAhahha sweetie usinikimbie nilikua namyeyusha huyu mtoto