Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
 
87f66776-3f1e-4190-ab75-64569933174d.jpg
 
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili

Condoms vipi hazizuia hiyo gono? Au kwa wale kavu kavu, alafu kuna ugonjwa mbaya sana mwingine wa ini Hepatitis B, ugonjwa hatari sana huu kama hujapata chanjo, uki sex na mtu tu mwenye nayo hata jasho lake anakuambukiza.. Watch out
 
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
STDs hazizuiliki kwa Condoms maana ata maji maji ya mgonjwa wanaweza nasambaza vimelea.
Gongo ata kwa kiss tu unaweza lipata
 
Condoms vipi hazizuia hiyo gono? Au kwa wale kavu kavu, alafu kuna ungonjwa mbaya sana mwingine wa ini Hepatitis B, ugonjwa hatari sana huu kama hujapata chanjo, uki sex na mtu tu mwenye nayo hata jasho lake anakuambukiza.. Watch out
Wamesema njia mojawapo ni kuvaa condoma..ila hepatitis hata mate unaoata

Back
Top Bottom