Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Kama huo ugonjwa upo Kenya kama alivyosema mtoa mada ina maana soon utaingia Tanzania kupitia Mikoa ya pembezoni ya Arusha,Mara, Kilimanjaro, Tanga then soon DSM 🙆

Ukifika DSM basi Pwani, Morogoro then Dodoma.

Ukitoka Dodoma -Iringa-Njombe-Mbeya kutokea hapo Tanzania nzima.

Let's play safe guys 🙌
 
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili

kimeuwa mbwa wangu bei baada ya kutoroka bandani kwenda nje kuchepuka
 
Kama huo ugonjwa upo Kenya kama alivyosema mtoa mada ina maana wale soon utaingia Tanzania kupitia Mikoa ya pembezoni ya Arusha,Mara, Kilimanjaro, Tanga then soon DSM 🙆

Ukifika DSM basi Pwani, Morogoro then Dodoma.

Ukitoka Dodoma -Iringa-Njombe-Mbeya kutokea hapo Tanzania nzima.

Let's play safe guys 🙌
Hiki ndo kikubwa mkuu
 
Daah hii HEPATITIS B ni janga na hatari kuliko ukimwi...kuna mkaka aliumwa jamani tulisoma nae chuo alikua ameoa hana hata mwaka alikonda aliiisha huwezi amini ni yeye alifariki kwa mateso makubwa ila cha kushangaza mkewe na mtt mp leo wapo sijui zile chanjo ziliwork kwao...hapa sijaelewa

Hepatitis b ikikupata inategemea na dna yako pamoja na immunity yako ilivyo.

Kuna watu wakipata tu inawaua fasta. Na kuna watu wakipata immunity zao zinapambana nayo mpaka hepatitis inapona kabisa.

Watu wengi hawajapata chanjo ila hepatitis haiwaui..

Wengine virusi vinakuwa inactive.. wakipima virusi vipo ila ugonjwa hauwatesi mpaka wanazeeka
 
Hepatitis b ikikupata inategemea na dna yako pamoja na immunity yako ilivyo.

Kuna watu wakipata tu inawaua fasta. Na kuna watu wakipata immunity zao zinapambana nayo mpaka hepatitis inapona kabisa.

Watu wengi hawajapata chanjo ila hepatitis haiwaui..

Wengine virusi vinakuwa ina active.. wakipima virusi vipo ila ugonjwa hauwatesi mpaka wanazeeka
Sawa sawa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom