Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Huo ugonjwa upo mbona kitambo, unaitwa pangusa! Kwani umerudi tena?
ya nami nlitaka kuusema ulikuwa unaitwa pangusa, tena kitambo kidogo na sijauskia miaka kadhaa.
Umerudi tena au ndo fear sellers wamerudi na jina jipya, I ain't buy that.
Ngono ninaacha kwa sababu za kiroho ambazo hata kondomu ya chuma haiwezi zuia.
 
Yah magonjwa mengi yaliua sana miaka ya nyuma..ref HIV
Ni hatari Sana

Vijana wenyewe hawataki kutulia na Mpenzi Mmoja. Unakuta Mwanamke anawapenzi 3 hadi 7 na wote hamjuani.

Kwa msululu huo wa Wapenzi wengi na mtindo wao wa kutembea barabara za vumbi mmoja akipata hayo maradhi mtajikuta wote mnapata 🙆

Mwanamke ukipata Bwana unajua hakuridhishi bora kumwacha utafute anayeweza kukuridhisha badala ya kuwa na Wapenzi wengi😢
 
Back
Top Bottom