Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
"Mshahara wa Uzinzi ni Majanga.." mwisho wa kunukuu
 
Ni hatari Sana

Vijana wenyewe hawataki kutulia na Mpenzi Mmoja. Unakuta Mwanamke anawapenzi 3 hadi 7 na wote hamjuani.

Kwa msululu huo wa Wapenzi wengi na mtindo wao wa kutembea barabara za vumbi mmoja akipata hayo maradhi mtajikuta wote mnapata 🙆

Mwanamke ukipata Bwana unajua hakuridhishi bora kumwacha utafute anayeweza kukuridhisha badala ya kuwa na Wapenzi wengi😢
Wanawake wanapenda mteremko kinachowafanya wafanye hivyo ni udangaji tuu kupata hela huku na huku hakuna kingine...tusema tamaa
 
Angalia picha pale juu
hiyo mipicha nshakutana nayo nikiwa na umri mdogo sana, sijui walikuwa NGOs za kupambana na magonjwa ya zinaa, walkuwa wanaonyesha sinema usiku uwanjani.
Sana sana zilinitia kinyaa tu, ila abdalah kichwa wazi akiita nasahau vyote nasijawahi kupata hata upele mpaka leo hii.
Kilichonifanya nichane na kuruka ruka ni sababu za kiroho nlizopata in deep from the source different from these common religious. Ambazo kwa hiki.kizazi cha dijitali hawawezi kuzielewa hata iweje wanasubiri wasikie kutoka BBC na CNN, na sosho netiweki.
 
maana ake unaeza pima ukawa huma next 6 weeks vipimo vikaonesha unawadudu,. sasa ukipima ukatoka na shangwe utakuja kujua hujui😂😂 wabongo huishia kusema wamelogwa kumbe ni nguvu ya mamba kumai😀😀
Siku moja tu hiyo inatosha kunipa nguvu ya kuburudika ...maana ngwengwe nowadays ipo njenje....wengine mpira hapana aisee
 
hiyo mipicha nshakutana nayo nikiwa na umri mdogo sana, sijui walikuwa NGOs za kupambana na magonjwa ya zinaa, walkuwa wanaonyesha sinema usiku uwanjani.
Sana sana zilinitia kinyaa tu, ila abdalah kichwa wazi akiita nasahau vyote nasijawahi kupata hata upele mpaka leo hii.
Kilichonifanya nichane na kuruka ruka ni sababu za kiroho nlizopata in deep from the source different from these common religious. Ambazo kwa hiki.kizazi cha dijitali hawawezi kuzielewa hata iweje wanasubiri wasikie kutoka BBC na CNN, na sosho netiweki.
Tushirikishe tuokoke na sisi
 
Hii ndio dawa hahahhaaa🤣🤣🤣

Nimekumbuka hili tangazo enzi hizo....
20484CE5-49B7-4062-B0E5-3D8B4E296BCA.jpeg
 
Back
Top Bottom