Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kama ni mtego😂😂😂Ubaya wa hii kitu haina cha kuzuia michubuko wala nini, ukichomvya tu imoo
nisomo refu na gumu kueleweka kwa waumini wa hizi dini mbili, inahitaji kuface your dark side na ufanye shadow work ya kutosha. Ila wenzetu wana shortcut zao ni kutubu dhambi kwa Mwenyezi Mungu na kuhudhuria ibada na sala, bila purification yoyote, the intended shadow work is nightmere for themTushirikishe tuokoke na sisi
taratibu kuna vikogo mjini huko, Mida hii unakucha dereva anaosha chuma boss hajulikani alipo😂😂Dodoma tena wanafanya kuimport na kuexport
Acha kabisa..Naona vitu kama vina jirudia tena, lkn watu hatushtuki kulingana na hali ya maisha inavyobadilika...Kipindi hiko ukimwi unatisha kuliko maelezo
Ndiyo maana maradhi hayaishi. Wanawake wanakuwa na wanaume wengi kwaajili ya kujikwamua kiuchumi utasema wao hawawezi kujishughulisha na kupata pesa zao.Wanawake wanapenda mteremko kinachowafanya wafanye hivyo ni udangaji tuu kupata hela huku na huku hakuna kingine...tusema tamaa
Miaka hio ulikuwepo mkuu?Mbona shida hiyo
Miaka ya '70 kulizukaga maradhi ya namna hiyo hiyo, yalikuwa yanatesa Sana na tuliyaita Pangusa.
Kutibiwa ilikuwa shida Sana kutokana na uduni wa teknologia na Utaalamu.
Umakini unahitajika kwa kweli
Mtajua wenyewe mnaofanya uzinzi na uasherati.Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
Nilikwepo Mkuu 🤪Miaka hio ulikuwepo mkuu?
Habari ya mkojo kuuma kama unakojoa mishikaki sitaki😬😬Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
Duh kwakweli natundika daruga mpaka aug 2024 🤨😳
Hahahaaa! Mimi natafuta ile midoli kabisa yani🤣🤣🤣 hadi 2050😂😂😂Duh kwakweli natundika daruga mpaka aug 2024 🤨😳
Dah hatari mwenyewe nasogeza mpaka 2030 duh inatishaHahahaaa! Mimi natafuta ile midoli kabisa yani🤣🤣🤣 hadi 2050😂😂😂
Kuna Principal Moja kwenye Biology inasema kitu kama hakitumiki mara kwa mara kinapoteza uwezo wake.Duh kwakweli natundika daruga mpaka aug 2024 🤨😳
Ifanye kazi tu kwangu aiseee hapana 🤚Kuna Principal Moja kwenye Biology inasema kitu kama hakitumiki mara kwa mara kinapoteza uwezo wake.
Mfano kama umefungwa miguu yote miwili hutembei kwa Mwaka mzima basi utajikuta umekuwa mlemavu wa miguu.
Sina hakika kama principal hiyo inafanya kazi na hapo pia 😂
Zinapuputikaje ??? Unamaanisha zinanyonyoka na kupotea kabisa??Vaa condom mkuu..
Nilikua nasikiliza BBC hapa wanasema ni wa hatari watu wamepukutika kabisa sehemu zao
jamaa kule Jamii Health alisema, kama unakojoa viwembe, aisee nilichekaHabari ya mkojo kuuma kama unakojoa mishikaki sitaki😬😬
Ni mimi huyo mkuu😂jamaa kule Jamii Health alisema, kama unakojoa viwembe, aisee nilicheka