Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

jamaa kule Jamii Health alisema, kama unakojoa viwembe, aisee nilicheka
 
Zinapuputikaje ??? Unamaanisha zinanyonyoka na kupotea kabisa??

Fafanua kidogo hapa Mkuu
Wale wadudu wanatafuna na kuozesha yaan unatafunwa nyeti zako na kidonda kinaoza tu kinakua donda ndugu halisikii dawa ukiona picha watu walivyoliwa utaelewa, na ukioza unaanza kuvuja usaha tu na kujipangusa usaha ndio maana ikaitwa Pangusa na kupepea mainzi

Kuna ndugu yangu aliugua kaswende ndio nilipoona haya magonjwa hayafai, ni zaidi ya mateso, ingia Google syphilis utaelewa namaanisha nini
 
Sanaa utamu ni sekunde chache ila outcome yake ni mbaya sana...
Ulishawahi ona uchi ulioliwa na kisonono??

Nishawahi kuona kwenye vijarida fulani huko mtandaoni ni hatari sana aisee unaweza ukapumzika kushiriki tendo kwa mda baada ya kuona mambo yanavyokuwa nyang’a nyang’a
 
Back
Top Bottom