Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Niliwahi uona Mutukula😔 mpakani mwa Tanzania na Uganda, hataree sana.Sanaa utamu ni sekunde chache ila outcome yake ni mbaya sana...
Ulishawahi ona uchi ulioliwa na kisonono??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi uona Mutukula😔 mpakani mwa Tanzania na Uganda, hataree sana.Sanaa utamu ni sekunde chache ila outcome yake ni mbaya sana...
Ulishawahi ona uchi ulioliwa na kisonono??
Phaller sana mukuu🤣Namuona Elion Kimario akiangalia huo ujumbe kama upo kitabuni.
ITV walilirusha sanaHii ndio dawa hahahhaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekumbuka hili tangazo enzi hizo....
View attachment 2487967
Acha uogaDuh kwakweli natundika daruga mpaka aug 2024 [emoji2955][emoji15]
Kwa picha la huko juu aisee ni bora nitukanwe matusi yote 😁Acha uoga
Yeah ni hatari sana nilipost kule vituko mitandaoniSanaa utamu ni sekunde chache ila outcome yake ni mbaya sana...
Ulishawahi ona uchi ulioliwa na kisonono??
Nyie ndo mnapenda zama chumviniKwa picha la huko juu aisee ni bora nitukanwe matusi yote [emoji16]
Nimeona picha la kutisha sana leo 😆Nyie ndo mnapenda zama chumvini
Mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣 itabidi wahamie chaputa tu sasaVaa condom mkuu..
Nilikua nasikiliza BBC hapa wanasema ni wa hatari watu wamepukutika kabisa sehemu zao
Noma sana hiimbona kama ni mtego😂😂😂
kifungu cha ngapi 😅😅😅.. mbona kama sielewi thread
Kasha kula vichwa kama 200Na wanawake mpk kuonesha dalili ni baadae sana ashawaambukiza wa kutosha...
hakuna hicho kifungu, wana waendeleze libenekeNamuona Elion Kimario akiangalia huo ujumbe kama upo kitabuni.
shida matibabu ya siri , mtu anajitibu badae anarudia hiyo hiyo makuAntimicrobial resistance at work,watu hawamalizi dozi madhara yake ndio haya sasa.
Utelezi mtamu sijui itakuaje
Tanzania upo sema in silence mode. Hasa Gono la dodoma weka mbali na watoto... Dar hakuna gono aseeHiki ndo kikubwa mkuu
Dodoma hatari mzee.. sina mengi ya kuzungumza ila dom pa kucheza napo makini sana , kuna gono kali kweli pale..Kuna jamaa aliwahi Kuja nastory na ugonjwa Kama huo kule mmu, aliupata kwa Malaya wa kununua dodoma.
Nilicheka balaa
kubee eeh! Dodoma inabidi wapewe seminaUkichanganya na maji ya chumvi gono linakolea