Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Sanaa utamu ni sekunde chache ila outcome yake ni mbaya sana...
Ulishawahi ona uchi ulioliwa na kisonono??
20230119_223428.jpg
20230119_223425.jpg

Na ukija kwa sisi Wapasuaji, hatukupi Dawa, tunaitoa kabisa..

20230119_223323.jpg
 
Tafiti zinasema,
mwanaume mmoja(1) kati ya 10 na Wanawake 5 kati ya 10. Wanaweza kuambukizwa Gonorrhea , wasioneshe dalili yote. Na wakapona bila kupata matibabu.
 
wanawake gono halionekani kirahisi, ila lina athari anapotunga mimba mtoto kuzaliwa kipofu ( ndio maana dom kuna kipindi kulikuwa na matonya wengi sana ), watoto kufa, hata mifumo ya uzazi kuharibika na kujikuta hazai tena. Me kujitibu gono ni rahisi sana kama atazingatia mashart
Ila wanangu mnatupanga 😂
 
Sanaa utamu ni sekunde chache ila outcome yake ni mbaya sana...
Ulishawahi ona uchi ulioliwa na kisonono??
Kuna jamaa angu Yuko singida analia na gono ananimbia kila mazni anayemla anajikuta ndani ya siku mbili amzoa gono na yeye siyo mtumiaji wa ndumu
Na unakuta anawachkata Hawa wa umri wa Kati tu 20 ,21 amesema hawafai sijui nnn

Amenitisha sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Itakua hajitibu akapona vzr...
 
Pale Mikocheni nyuma ya shoppers Kuna ka Kijiji, Kuna siku nikiwa mitaa Ile usiku nimelewa nilikutana na mwanamke, simjui hhanijui, nikapeleka mkono wangu kwenye puchi yake, hakuutoa kaniambia nimfuate. Na Ile pombe nikamfuata mpaka kkwake,. Kafunga mlango tukavua, tukapanda kitandani.
Baada ya siku tatu nilikua natoa uji uji wa kijani toka kwenye bomba, aisee hiyo kitu ilininyima amani sitakuja kusahau.
Kipindi kile ukienda siptali ya serikali wanakuambia kamlete mwenzio tuwatibu wote.
 
Back
Top Bottom