Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Sio kwamba ulipotea ila umejenga himaya baada ya kupata usugu wa dawa..kwa sasa unaitwa Super Gono
Mmmh!
Usishupaze shingo mkuu
bado natathimini!
F184ED48-5F90-4357-90BC-61674A68C273.jpeg

80A8DBF7-9A23-41D2-A831-176D6A9D98A7.jpeg
 
Daah hii HEPATITIS B ni janga na hatari kuliko ukimwi...kuna mkaka aliumwa jamani tulisoma nae chuo alikua ameoa hana hata mwaka alikonda aliiisha huwezi amini ni yeye alifariki kwa mateso makubwa ila cha kushangaza mkewe na mtt mp leo wapo sijui zile chanjo ziliwork kwao...hapa sijaelewa
Asilimia Zaid ya 90 wagonjwa wa hepatitis b wanapona ni wachache hawaponi
 
Back
Top Bottom