Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hauondoki mwllini kwa muda mrefu

Sasa kama unaondoka mwlini kwa muda mfupi tatizo nini ??
Uliza swali tena...
Kitu ambacho hakiondoki muda mrf it means hakisikii matibabu kwa muda ambao unatakiwa so inabidi ule dozi kwa muda mrf...
 
Condom ni suluhisho la mengi ila vijana wengi hawataki Kisa eti wanasema haiwakuti so nikazi kiwashawishi .

Nipo serious ukimwi upo na STDS zipo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…