Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Ukiondoa neno super inabakia nn ? ( Trap)
Yaani Ghono li update mafile yake.... Hapa wanatupiga kanyanga
 
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
Kapicha please!
 
Back
Top Bottom